Fumanizi kitaani kwetu

aminata vipi? Hii forum ya watanganyika ambao 80 percent ni wakulima wa jembe la mkono. Nyie ndo mnapenda maisha ya maigizo na kujifanya usafiri wenu ni pipa na pvt cars!
mbona nimeshaa nza kukupenda ..nibadilishe majeshi nini nielekeze kwako....bora umwambie huyu sista do
 
Alie fumaniwa ni huyo mwanamke, mwanaume yeye kakutwa, mwanaume hafumaniwi jamani.

Alafu mbona hili la kawaida tu huko uswazi, mi nilifikiri wamekutwa ki cameroon, kumbe kiafrica kabisa, mbona powa tu.
 
Back
Top Bottom