Sitaki kufa njaa kitaani

Boyfriend15

Member
Jul 22, 2022
26
20
Kwa yeyote atakejali na kupitia hii natoa shukurani zangu
Mimi ni kijana 23 years old mkazi wa mbeya nimemaliza degree ya accounting and finance in business sector bahati mbaya life la nyumbani sio rafiki so nipo nakomaa kitaani hustle za hapa na pale lakini life limekua tough sana
Naombeni kazi yeyote nipo tayari kufanya kwa sasa nimechoka kulala njaa kazi yeyote sehemu yeyote
0621774403
NAWASILISHA
 
Uko Mbeya au uko wapi ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwa yeyote atakejali na kupitia hii natoa shukurani zangu
Mimi ni kijana 23 years old mkazi wa mbeya nimemaliza degree ya accounting and finance in business sector bahati mbaya life la nyumbani sio rafiki so nipo nakomaa kitaani hustle za hapa na pale lakini life limekua tough sana
Naombeni kazi yeyote nipo tayari kufanya kwa sasa nimechoka kulala njaa kazi yeyote sehemu yeyote
0621774403
NAWASILISHA

Mchango ninaokupa:

1. Usikate tamaa.
2. Wakati una hustle usipoteze tabia.
3. Sala muhimu sana.

Tumepita magumu sana na sasa tunaendelea vizuri, mambo mazuri yapo njiani.
 
Sema nini wanangu elimu ya bongo ni ya ksng kmmk hakuna kitu madogo wanachukua huko mashuleni na vyuoni ambavyo kitaa vitalainisha bomba.

Dogo cha muhimu komaa usichague kazi cheti weka chini ya kitanda na kisahau kabisa halafu zama mtaa kama mtu ambae si mwanachuo komaa.
Asante kwa ushauri kaka
 
Kweli life ni gumu tena sana lakini ushauri wangu usifanye hichi ulichofanya sababu inaonesha umekata tamaa una degree ila haimaanishi kazi kupata ni hakika it takes time...shida mtu ukimaliza chuo kunakuwa kuna pressure sana hasa kwa watu waliokuzunguka ndio inayoleta haya mambo jiamini maana bado sana kuwa mvumilivu pia jichanganye na washkaji wa kitaa au uliosoma nao uone utaishije maana sio poa.
 
Sasa kwa njaa hiyo si utaishia kuiba tu kazini.
Anyway kuna ndugu yako yuko kaliua kasema 75 kila siku 15.
Nenda kamchangamshe kidogo akome kulipa mishahara ya kindezi hivyo
 
Mfanyie hata 500k kwa mwezi, mzee wangu. Mungu atakuongezea
Hahaa, yan mzee unatak kuanza na mshahara wa lak 5 kwa mwez wakat kwa sasa hauna mchongo wwte hata wa lak 2?? Aa mzee jishushe, watu watashindwa kukupa mchongo wa lak 3 wakijua unatak lak 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom