Fumanizi hili Guest house Iringa

Fumanizi hili Guest house Iringa

Mapenzi ni hiari, kama una mke mzinzi na huwezi vumilia mwache.

Kumbuka, katika sheria si kila halali ni haki. Hao walioua magoni wao na kuachiwa inawezekama walitumia kipnegele cha 'temporal Insanity', lakini je kuua mtu sababu ya K moja tu ni haki?

Malengo ya taasisi yeyote kama ni kutetea haki ya binadamu, basi ina wajibu wa kutetea haki ya binadamu huyo endapo itapokonywa hata kama ana tabia ya aina yeyote.

Kwa hiyo sababu tu mwanamke ni mzinzi apigwe hata akifa poa? Kisa? To feed men's ego?Absurdity of Weak Men!

Kongosho dada yangu, umesema vema hapa juu ya uwezekano wa amri ya mahakama, nanukuu,'temporal Insanity', hivyo kama nilivyosema kitendo cha mtu mzima tena ndani ya ndoa kumpiga mwenzake huwa sio planned hata kidogo, wengi wametenda hilo la kupiga, lakini inapofika jioni wanakuwa pamoja na mapenzi wanapeana na kuombana msamaha. Kumbe basi kuita kwamba ni mens Weak, hiyo hakika ni utetezi dhaifu sana.

Unasema huoni sababu eti kisa ni K tu, dada yangu, wewe mara zote japo sikufahamu, lakini kwa kukusoma tu natambua ya kuwa sio mtoto, hivyo basi katika mwili wa binadamu katika viungo mhimu na hatari pia ni viungo vya uzazi. Tukiwa kwa mfano DSM kwenye public transport (daladala, ndio usafiri wangu) huwa tunasukumana na kugusana almost sehemu zote za miili yetu, na katika hilo no body care, lakini linapokuja swala la kugusanisha vikojoleo tena mbaya zaidi aidha na mke wa mtu ama mume wa mtu, hilo halikubaliki hata kidogo.

Najua tunatofautiana sana, kimalezi, kimtazamo nk, katika kusema kwangu unaweza kusema hii ni ile mnaita mfumo dume, lakini mimi ninachokisema ndicho kilichopo moyoni mwangu.
Nakutakia weekend njema dada Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Ukuiona uansema utaacha wangapi, then swallow ur pride ana ego na msamehe mkeo uendelee na ndoa.

Watu hutafuta mabadiliko pale ambapo gharama ya kubali walipo inakuwa kubwa kuliko gharama ya mabadiliko. Kama gharama ya kutoa talaka ni kubwa kuliko gharama ya kusalitiwa, basi huna haja ya kumpiga mkeo. Maana umempenda na mapungu yake ambayo ni uzinzi.

Na makosa anayofanya mwanamme anapigwa na nani?

Hizi taasisi nimezisema maana zinasema zinatetea haki za binadamu, kipigo free included unless adhabu hiyo imeelezwa katika sheria.

Mimi ninachojua hakuna mwanaume ama mwanamke yeyote anayepanga kwenda kumpiga mwenzake, hili jambo mara nyingi hutokea automatically kutokana na sababu za jambo husika, ambazo mhusika kwa namna moja ama nyingine hushindwa kukontrol hasira zake. Wapo wanawake ambao katika ugoni huwapiga wanaume wao tena hadharani na jinsi ya kitendo chenyewe pindi unapokamatwa hugeuka kuwa aibu hivyo pamoja na ubabe wa wanaume wengi hakika hapo hujikuta wakinywea/ kuwa wapole.

Bado napingana na dhana yako ya mwanzo kuona kuwa ni haki kwa TGNP ama TAMWA kuingilia mambo kama hayo. Aidha pia ukisema kuwa kwa vile sheria inaruhusu kumwaacha mtu mzinzi, je utaachana na wangapi if it hapen for more than once in your marriage. Makosa mengine lazima tukubali kupeana adhabu za papo kwa papo na katika kufanya hivyo nadhani itasidia kusonga mbele kimaisha.

Katika kuanza kufanya legal procedures za kumpa talaka huyo mwanamke ambaye eti umenshika ugoni, inaweza kuchukuwa muda mrefu, na ujue pia huyo mtu bado ni mkeo ama mume bado maana mnasubiri sheria iwatenganishe, kumbe basi kihalali mnapaswa kuendelea kuishi pamoja na kutenda pamoja at the time mnasubiri kesi yenu kuweza kuamliwa na mahakama or whatever, mnaweza kujikuta kwa muda huo hadi mmerudiana na hadi kwenda kuomba kufuta kesi mahakani, kumbe ni bora kama mngeweza kuazibiana kama kuna kuendelea na maisha mtajua kama sivyo mtajua maana ukweli kosa liko wazi.
 
kwa nini ampige?angemuua?
Kongosho dada yangu, umesema vema hapa juu ya uwezekano wa amri ya mahakama, nanukuu,'temporal Insanity', hivyo kama nilivyosema kitendo cha mtu mzima tena ndani ya ndoa kumpiga mwenzake huwa sio planned hata kidogo, wengi wametenda hilo la kupiga, lakini inapofika jioni wanakuwa pamoja na mapenzi wanapeana na kuombana msamaha. Kumbe basi kuita kwamba ni mens Weak, hiyo hakika ni utetezi dhaifu sana.

Unasema huoni sababu eti kisa ni K tu, dada yangu, wewe mara zote japo sikufahamu, lakini kwa kukusoma tu natambua ya kuwa sio mtoto, hivyo basi katika mwili wa binadamu katika viungo mhimu na hatari pia ni viungo vya uzazi. Tukiwa kwa mfano DSM kwenye public transport (daladala, ndio usafiri wangu) huwa tunasukumana na kugusana almost sehemu zote za miili yetu, na katika hilo no body care, lakini linapokuja swala la kugusanisha vikojoleo tena mbaya zaidi aidha na mke wa mtu ama mume wa mtu, hilo halikubaliki hata kidogo.

Najua tunatofautiana sana, kimalezi, kimtazamo nk, katika kusema kwangu unaweza kusema hii ni ile mnaita mfumo dume, lakini mimi ninachokisema ndicho kilichopo moyoni mwangu.
Nakutakia weekend njema dada Kongosho
 
FUMANIZI+1.jpg

Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo

FUMANIZI+2.jpg

Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

Uzinzi ni janga la kitaifa, si mwanaume wala mwanamke siku tunashinda.
 
Kama mtu hawezi dhibiti hasira zake, basi atangazwe kuwa na udhaifu fulani wa kiakili (Anger Disorder) watu waishi naye kwa tahadhari. Vinginevyo kuna 'anger Management Techniques' mtu huyo aende huko akafundishwe jinsi ya kuthibiti hasira zake.

Kusameheana ni A, na kupigana ni C. Kisa cha kumweka mtu kwenye hati hati ya kifo sababu ya kutaka kumfundisha? Mume akikosa anafundishwa na nani? Hujanijibu hapa.

Kongosho dada yangu, umesema vema hapa juu ya uwezekano wa amri ya mahakama, nanukuu,'temporal Insanity', hivyo kama nilivyosema kitendo cha mtu mzima tena ndani ya ndoa kumpiga mwenzake huwa sio planned hata kidogo, wengi wametenda hilo la kupiga, lakini inapofika jioni wanakuwa pamoja na mapenzi wanapeana na kuombana msamaha. Kumbe basi kuita kwamba ni mens Weak, hiyo hakika ni utetezi dhaifu sana.

Unasema huoni sababu eti kisa ni K tu, dada yangu, wewe mara zote japo sikufahamu, lakini kwa kukusoma tu natambua ya kuwa sio mtoto, hivyo basi katika mwili wa binadamu katika viungo mhimu na hatari pia ni viungo vya uzazi. Tukiwa kwa mfano DSM kwenye public transport (daladala, ndio usafiri wangu) huwa tunasukumana na kugusana almost sehemu zote za miili yetu, na katika hilo no body care, lakini linapokuja swala la kugusanisha vikojoleo tena mbaya zaidi aidha na mke wa mtu ama mume wa mtu, hilo halikubaliki hata kidogo.

Najua tunatofautiana sana, kimalezi, kimtazamo nk, katika kusema kwangu unaweza kusema hii ni ile mnaita mfumo dume, lakini mimi ninachokisema ndicho kilichopo moyoni mwangu.
Nakutakia weekend njema dada Kongosho
 
Kweli kujiepusha ni suala la kwanza.

Ila na ku-set rules kunasaidia hasa kama mwanamke anajiamini.
Ukishangundia mwenza ana Anger disorder bora kumwanzishia 'Anger management sessions tu

Sidhani kama utaweza

Juzi nilikuwa eneo moja hapa jijini Mwanza linaitwa Kayenze,ilitokea kadhia ya namna hii,yule jamaa aliogopa kupambana na mwanaume aliyemfumania akataka kuhamishia hasira zake kwa mkewe

Mkewe alijitahidi kumzidi nguvu lakini alishindwa alipewa kipigo hadi wasamaria wema waliingilia kati,hadi naondoka eneo hilo kurudi mjini yule mwanamke aliyefumaniwa alikuwa amezirai kwa kipigo

Hawa watu wa aina hii ni kujiepusha kuingia nao kwenye mahusiano hasa kwenu wanawake
Ni hatari!
 
watu8@ kama akimuua je?angemuuliza taratibu kwanini umefanya hivi na tatizo liko wapi?kama hamtaki basi anamwacha< mbona wanaume wanafu,aniwa sana?

kubwalamaadui, linapotokea fumanizi akili inayofanya kazi huwa sio ile ya kawaida, kuna kama kuchanganyikiwa vile, hata huko kupiga kunatokea tu automatically, hicho unachosema cha kukaa na kuulizana huja baadaye, mtu alishachapwa ametulia baadaye katika kurudiana kwenye yale mambo yetu sasa hilo linaweza kutokea na watu wakaombana radhi nk.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?

Wewe Kongosho, hata mkuu wa nji hii ameshasema ukichoka dawa ni kupiga tu, wewe ni nani hata upinge?
 
Last edited by a moderator:
kubwalamaadui, linapotokea fumanizi akili inayofanya kazi huwa sio ile ya kawaida, kuna kama kuchanganyikiwa vile, hata huko kupiga kunatokea tu automatically, hicho unachosema cha kukaa na kuulizana huja baadaye, mtu alishachapwa ametulia baadaye katika kurudiana kwenye yale mambo yetu sasa hilo linaweza kutokea na watu wakaombana radhi nk.

Kwanini aliweza kugundua kuwa mwanaume aliyemfumania na mkewe hana hatia kama alikuwa katika hali hiyo?
 
Kweli kujiepusha ni suala la kwanza.

Ila na ku-set rules kunasaidia hasa kama mwanamke anajiamini.
Ukishangundia mwenza ana Anger disorder bora kumwanzishia 'Anger management sessions tu

Kweli !!!!!!!!!
 
wakuu sidhani kama kupiga ni suluhisho la kutoka nje ya ndoa, kama humtimiziani mambo ya msingi hayaepukiki
 
kubwalamaadui, linapotokea fumanizi akili inayofanya kazi huwa sio ile ya kawaida, kuna kama kuchanganyikiwa vile, hata huko kupiga kunatokea tu automatically, hicho unachosema cha kukaa na kuulizana huja baadaye, mtu alishachapwa ametulia baadaye katika kurudiana kwenye yale mambo yetu sasa hilo linaweza kutokea na watu wakaombana radhi nk.

lakin huyu baba alikuwa yuko very Consious.....
 
Mimi siku zote huwa najitaidi sana kumfanya mtu wangu asitoke njee kwa kuhakikisha majukumu yangu kama mwanaume nayatimiza kila idara. Hata akitoka nikajua sitompiga, tachunguza madhaifu yangu kwanza. Nitaongea naye, tufike muhafaka yaishe siku hiyo hiyo. ile dhana ya mwanaume ndio mwenye haki ya kwenda nyumba ya kando, mwanamke ikitokea imepitwa na wakati. kabla ya kutoa hukumu, jiulize wewe upo vyema. Tutazungumza mara ya kwanza, ya pili ya tatu. Asipo nisikia, namwambia mama kwa heri ya kuonana. Si dhani kama ni vyema kumpiga alafu usiku kitandani unamwambia sogea huku.

Hujaoa wewe!mke mzinzi ni kama alshabaaby!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mi mwanamke akiniudhi hasira huhamia kichwa cha chini,kwa hiyo LAZIMA nimbake ili hasira ziishe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama mtu hawezi dhibiti hasira zake, basi atangazwe kuwa na udhaifu fulani wa kiakili (Anger Disorder) watu waishi naye kwa tahadhari. Vinginevyo kuna 'anger Management Techniques' mtu huyo aende huko akafundishwe jinsi ya kuthibiti hasira zake.

Kusameheana ni A, na kupigana ni C. Kisa cha kumweka mtu kwenye hati hati ya kifo sababu ya kutaka kumfundisha? Mume akikosa anafundishwa na nani? Hujanijibu hapa.

Wapo wanaume wengi sana ambao katika kufumaniwa wameuzizwa sana na wake zao kwa vipigo, kumwagiwa maji ya moto nk, na baada ya hapo hasira zikitulia huombana radhi na kuendelea na maisha. From experience, namfahamu bwana mmoja yeye mke wake alimwagia maji ya moto almost mwili mzima kwa kosa hilo, na mume kwa kutambua kosa lake alijiuguza na kuomba msamaha na leo hii wanaishi pamoja.

Haya mambo sijui atangazwe kwamba hawezi kuzibiti hasira hayana maana yoyote, maana utatangaza wangapi, maana hata tafiti zinasema kila mtu ni kichaa kwa asili, ila tu tunatofautiana level, kikiwa kikubwa zaidi ndio hao kama hapa kwetu tunawaona mtaani na wengine kule Milembe, so hata kwa case ya hasira ni the same, ndio maana utasikia wengine wakiudhiwa kidogo tu mara wanywe sumu, kujitundika nk.

Mwisho, kama nilivyoanza mume akikosa anaadhibiwa na mke wake and if possible na jamii inayomzunguka. Angalia hata picha ya tukio hilo, watu wanashangaa kulikoni haya yote na asb hii. Tujitahidi jamani kama tuko kwenye ndoa tuishi kwenye ndoa zetu, kama hatuko kwenye ndoa basi tujitahidi kuangalia tunachukuana na nani na kwa namna gani. Wanawake huru wako wengi, na wanaume huru pia wapo japo sio wengi, tuwatumie hao kama tumeshindwa kukaa wenyewe.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, waliomo na wasio kuwemo.
 
Amefanya vizuri kumuadabisha mkewe na sio wengine hukimbilia kugombana na mwanaume mwenzie wakati aliye na makosa ni mkewe kwa nini asikatae wakati anajua ameolewa.
 
Back
Top Bottom