Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,771
- 4,491
Litakufa Jitu Leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
1. SIMBA
2. MASHUJAA FC
Updates...
Dk 04'
Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona.
Inapigwa haileti madhara.
Valentino..
DK 05'
Goooooooal Mashujaaa
Wanaweka chuma cha Kwanza.
Hapa
0-1
HT
Simba 0-1 Mashujaa.
2nd Half
Simba wamefanya mabadiliko matatu.
Kibu Inn
Zimbwe Inn
Shomary Inn
Duchu Out
Ouma Out
Balua Out
game on.
0-1
DK 65
Simba wanapata Penati.
Anapiga.
Ateba...
Gooooooooal
Simba wana level score board hapa.
1-1
DK 75,
Kipa wa Mashujaa analewa kadi ya njano ya pili (red card), baada ya kurudisha mpira uliokuwa nje ndani.
Simba wakiwa wanaenda kupiga kona.
Mashujaa walishamaliza Sub hivyo kipa anatoka ndani.
Itabidi wacheze 9 tu .
1-1
DK 90'
Zimeongezwa Dakika 15.
1-1
Dk 90+ 16'
Mpanzu anachezewa Faulo ndani ya box
Wanapata Penati anapiga Ateba.
Goooooooooooal...
2-1
FT
2-1