mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Bora tuna hamu nayo sana😃😃Muda si mrefu refa atawazawadia penati
Bora tuna hamu nayo sana😃😃Muda si mrefu refa atawazawadia penati
Szczęsny dah.. tulijua ubovu wake tukachana naye miaka 9 iliyopita.Mambo ya 5imbaView attachment 3331072
Mbona tumefungwa
Dakika ya ngapi hapoBora iishe tu mechi
Yamekuwa hayo tenaKunogesha maigizo
😡😡❌❌❌Kunogesha maigizo
91 added 3Dakika ya ngap
huyo utopolo,Hili suala la mtu kuanzisha thread kisha hawezi kutoa updates natamka rasmi kuwa life mara moja. Wewe utopolo ulieanzisha uzi usije shobokea nyuzi za mnyama tena
Limebaki toto lao Singida BS.Vipi nyuma mwiko mnacheza au hamchezi?
Mtu aache kuangalia El classical aje kutoa updates za papatu papatu ya Simba mapenalt?Hili suala la mtu kuanzisha thread kisha hawezi kutoa updates natamka rasmi kuwa life mara moja. Wewe utopolo ulieanzisha uzi usije shobokea nyuzi za mnyama tena
Madrid fala sana,kishakula nne,alonso kazi anayoMtu aache kuangalia El classical aje kutoa updates za papatu papatu ya Simba mapenalt?