Yanga wafukuze haraka sana huyu kocha wa mchongo.Yanga kama kawaida yao kwenye mechi kubwa wanapoteana na kucheza mpira wa hovyo. Hamna kcha humu
Upigwe roho yangu isuuzikeKipenzi Changu uzi huu hapa.
Upigwe roho yangu isuuzike
Bora hata wangekuwa wanapaki basi kisha wakipata mpira wacheze kinachoeleweka. Lakini ni ovyo tupuYanga mechi kubwa ni mwendo wa kupaki basi![]()
![]()
Kocha la mchongo.Bora hata wangekuwa wanapaki basi kisha walipata mpira wacheze kinachoeleweka. Lakini ni ovyo tupu


