Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Kwani aggregate yao ikoje!
Screenshot_20250425-205910~2.jpg
 
Watu mnashangilia nini mbona keoele ....kwani haya matokeo maana yake nini kwa tz
 
Waarabu wakajione kua nawao hamna Kitu

Hii watafanya msimu ujao waje na hasira
 
Watu mnashangilia nini mbona keoele ....kwani haya matokeo maana yake nini kwa tz
Just a normal -- football hate watch--- ni kama madrid alivyopasuka kwa arsenal

Kwa Tz haya imapct yeyote mkuu

Jinias lwiva mtaalamu
 
Mpira wa waarabu hauno mvuto,Al Ahly south africa walipoteza mda mpaka npira unaboa,now they are out,waarabu washenzi sana
 
Back
Top Bottom