washapiga chapili hukoHalitoshi ila wamepata unafuu tofauti na kutanguliwa. Wanahitaji goli moja zaidi ili wafuzu, wakati Orlando wanahitaji sare tu. Wasingepata goli wangekuwa na wakati mgumu zaidi kwa kutafuta magoli mawili.
Haya sasa 1-2Halitoshi ila wamepata unafuu tofauti na kutanguliwa. Wanahitaji goli moja zaidi ili wafuzu, wakati Orlando wanahitaji sare tu. Wasingepata goli wangekuwa na wakati mgumu zaidi kwa kutafuta magoli mawili.
2-2Haya sasa 1-2
hii game haitabirikiAisee kudadaki 2:2
Duh hapa kuna kazi kweli kweli
eee. Al ahly alipaki bas alivopigwa akajidai anafunguka ila it was too lateHakuna anayepaki bus, kila mmoja kafunguka
imeshaisha iyoPyramid 3 aisee
Experience itatumikaKombe wanabeba hawa Mamelodi mpira wao wao taratibu sijui kama watatoboa
HakikaKombe wanabeba hawa Mamelodi mpira wao wao taratibu sijui kama watatoboa
Labda hivyo vinginevyo Pyramid bingwaExperience itatumika
fulltime sjaona kamera ikimuonyesha mkandaji hii namna gani--- sema hii mashine yanga walimuacha vipi-- au dau lilikua kubwa-- utopolo wakaona wapige helaMayele! Mayele! Mayele!