Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Hii sheria ya bao la ugenini ipoje hapa
Sheria ya bao la ugenini ni pale mnapokuwa mmefungana sawa sawa baada ya mechi zote mbili. Mfano 1-1, 2-2 na kuendelea.
Sasa hapo mshindi atakuwa yule ambaye kafunga goli nyingi zaidi katika uwanja wa ugenini.
 
Back
Top Bottom