Wafungwe tu.Al Ahly hapa lazima watafunguka.Naona dk hizi wamechangamka.
Safi sana
Mpira una ukatili mkali sanaMechi ya marudiano kati ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi
Dakika ya 8 bado milango migumu pande zote mbili
Mamelodi wamekosa nafasi ya wazi kabisa.
Kwani aggregate yao ikoje!Mwarabu out
Objective football imegoma safari hii.