Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Kocha wa mamelod mpuuzi,unamtoa Ribeiro kwasababu gani wakati anawakimbiza sana mashindano ya Africa ya hovyo,kila mwaka mshindi ni yuleyule huh! Sasa kina haja gani ya mashindano?
Si mliingia nyie Mbumbumbu FC? Mbona sasa mpo kwenye kombe la VICOBA? Si mngechukua ubingwa wa Afrika?😁😁😁

Usijiandikie tu. Mpira ni uwekezaji. Uwekezaji wa Al Ahly ni haki yao kushinda ubingwa wa afrika sio nyie mnaomlamba viatu Mo na shangazi yake alafu anamsajili Ateba.
 
Gooooooooooool[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa tuone mpira, nadhani ile kupaki bus itakuwa imeishia hapo
 
Mpumba vu wa Ahly kujiweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom