Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Doh Ubuntu-botho chali, bonge la chuma hili
 
Mamelodi wakienda kushambulia, hawaendi kwa kasi bali mipasi kibao, Al Ahly wakishambulia wanaenda kwa kasi
 
Mamelodi kakoswa koswa goli la pili
 
Al ahly wameanza mtindo mpya wa kiuchezaji, wanakuacha umiliki mpira ili wakupige goli la kaunta, tofauti na zamani ambapo wanakuwa wanamiliki mpira na wanakushambulia mfululizo.
Hii style yao itawalipa sana, ngoja tuone
 
Al ahly wameanza mtindo mpya, wanakuacha umiliki mpira ili wakupige goli la kaunta, tofauti na zamani ambapo wanakuwa wanamiliki mpira na wanakushambulia mfululizo.
Hii style yao itawalipa sana, ngoja tuone
Pira hili mara nyingi wanachezaga Barcelona anakuachia ucheze yeye anakutegea tu kwenye mikimbio
 
Back
Top Bottom