Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Full Time: Al Ahly 1 - 1 Mamelodi | Caf champions league | Semi final

Mpira wa waarabu hauno mvuto,Al Ahly south africa walipoteza mda mpaka npira unaboa,now they are out,waarabu washenzi sana
wapotezaji muda waandamizi 🤣
 
wapotezaji muda waandamizi 🤣
Wana mchezo wa hovyo sana,zamani nilidhani timu za waarabu ambao hawana uwezo ndo wanapoteza mda,nimeshangaa hata Al Ahly first leg
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ali Ahly wametoka kipuuzi.Timu kubwa alafu inacheza ujinga tena nyumbani.Yaani kagoli kamoja wakaanza kuruka ruka tu uwanjani wakifikiri wameshashinda.
 
Wana mchezo wa hovyo sana,zamani nilidhani timu za waarabu ambao hawana uwezo ndo wanapoteza mda,nimeshangaa hata Al Ahly first leg
Si ndo mpira wso huo huko north africa
 
Tatu Malogo ni kipenzi chetu sisi wanasimba. Akichezesha tu mechi yetu, basi ushindi ni 💯% 😀
😃😃Dah amefanya niwazee mbali kweli dk zote hizo🙌🙌. Hongereni kwakuwekeza nguvu kwake
 
Pyramid na Berkane ndio mabingwa
Pyramid hii ambayo naitazama live muda huu ambayo muda wote wanashambuliwa na wanautafuta mpira kwa tochi mchana kweupe au wewe unaitazama Pyramid nyingine?

Hii fainali inachezwa na timu zote kutoka South Africa. Labda hii Pyramid ibahatishe counter attack halafu walinde kagoli kao ndiyo wanaweza kujikongoja kufika fainali.
 
Back
Top Bottom