HUJAMUELEWA Raiswetu. Hakika katika hotuba bora kabisa za Mzee Kikwete ni hii ya leo. Ilikuwa crystally clear na aliposema Tz hatuna ubavu wenye akili tumemuelewa!
Na hapa ndo pameleta utata!!!!!!Jamani mmesahau kuwa rais wa malawi ni mwanamke?
HUJAMUELEWA Raiswetu. Hakika katika hotuba bora kabisa za Mzee Kikwete ni hii ya leo. Ilikuwa crystally clear na aliposema Tz hatuna ubavu wenye akili tumemuelewa!
Jamani mmesahau kuwa rais wa malawi ni mwanamke? K.J anabembeleza apewe naniliu
kamma serikali haina hata pesa ya kulipa watumishi wake mishahara, hizo pesa za kupigana vita wataipata wapi?
Msameheni bure.
Mmmh! Siamini kama kasema hivyo. Kweli katamkia ulimwengu hivyo!? May be ni strategy mpaya yakijesh kumuonyesha adui yako kuwa humwez ili akiweka mkono unakata naamua kuamin hivyo vinginevyo ni aibu!
Apewe nini!?