pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Hotuba ni nzuri ila imekosa tarakimu! pia haina sababu za kutosha (haswa katika kuishauri serikali). Mfano: kuboresha vyuo vya polisi (kipi kiboreshwe? je ni bajeti? wakufunzi? au....? Mfano mzuri ni hotuba ya Mh. Zitto, ilikuwa imejaa ushauri wa kitalaamu na tarakimu.
Anyway, BIG UP Mh. Lema!
Anyway, BIG UP Mh. Lema!