FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

Nimefarijika niko Chama sahihi chenye wabunge sahihi na sera sahihi. Dr. Slaa toa tamko na rudia hotuba kwa kuidadavua
 
Umetisha baba! Hotuba ya ukweli toka nianze kufuatilia Bunge! Big up sana Hon. Lema
 
Victorious warriors win first and then go to war, while defeated warriors go to war first and then seek to win.
 
Sijaona uchochezi wowote ktk hii hotuba. CDM wamesema ukweli na wametetea sana haki za polisi! Nami nashauri hotuba hii ichapishwe ktk magazeti mengi ili wananchi wajue ukweli wa mambo.
 
Big up Mheshimiwa Lema, big Up CHADEMA! Huu ndo uwakilishi unaogusa maisha ya watanzania na wapiga kura waliokutuma bungeni na siyo kusema kitu ambacho watawala wangependa wasikie. CCM na viongozi walioko madarakani hapa ndipo mnaposhindwa kueleweka, unaposema kwamba hotuba aliyotoa Lema ni ya kihuni au uchochezi au ina matusi wakati hotuba imejaa uhalisia wa maisha ya watanzania wanaowakilishwa bungeni hamueleweki. Hata kama mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini kwa hali hii inanifanya niwe upande wa CHADEMA kwani ndiyo wanaowakilisha hali halisi ilivyo ya Mtanzania.
 
siku wakipata kazi za kufanya wataacha kudanganywa na kina form two - lema na madisko joka mbowe!

Mkoa wa Iringa ni mkoa unaoongoza kwa kutoa wabunge wenye elimu ndogo sana. 1. Wiliam Lukuvi-Mwalimu wa UPE (Ualimu Pasipo Elimu) 2. Deo Sanga (Jah people) kaishia Darasa la 2
 
Tangu lini CCM wakajua matatizo ya watz? Wao CCM ni kama wanaishi kisiwani..wacha chadema wawape mambo hadi roho ziwatoke. Big up sana chadema mps
 
Jamani tunaombeni Hotuba hii iwekwe kwenye magazeti ili tuthibitishe ukilaza wa Lukuvi
 
Maskini hawa askari wetu kumbe wanakatwa 5000/= kila mwezi za kuandaa mazishi yao.
Natamani maandamano ya kudai warudishiwe pesa zao yaje upesi nione nani atatupiga mabomu.

Pesa zote hizo wengi wao wanaacha au kustaafu kazi na hawazikwi na serikali kama hajafa kazini. Pesa zote anazokatwa miaka yote hiyo zinaingia mifukoni mwa wale wenye kutembea na vifimbo tu na kupigiwa saluti. Sasa hawa askani walala hoi pamoja na kupigia saluti wakubwa hao wenye vifimbo na kikanda kuuoni na shingoni tena wawachangie pesa? Uchafu huu wote watakuja kujieleza siku yake.
 
Ki ukweli wabunge hawa wa chadema nawakubali kuliko kawaida nampenda sana lema is de best of best like it
 
Tuijenge nchi,tuangalie nini kitafanyika baada ya hiyo "hotuba kali" kutolewa,...
kuandamana kwa kila kitu ni ujinga sasa!!!!

Hamna tofauti na msiwashangae wale wanao andamana "kupongeza hotuba nzuri ya JK"!!!!

This is wastage of the time we don't have

Demokrasi ni kitu kingine ndugu yangu. Walichoamua wakiona kinafaa waache mradi hawavunji sheria. Demokrani ni haki ya watu.
 
Safi sana CHADEMA. Hongera Mh Lema. Hongereni sana wabunge wa CHADEMA. Msiwe kama MADEMU WA CCM.
 
its the best! Polisi wasitii amri katili za wakubwa wao! Lukuv what is wrong with this?
 
Mh. Lema napenda kukushukuru kwa heshima unayotupa sisi wapiga kura na hasa wazazi wetu walionewa miaka na miaka. Wazazi wetu wengi wamekufa bila kuona mabadiliko yanayokuja na sisi wananchi tunakuombea Mungu Akulinde na Kukupa Washahuri Shupavu na hasa wale wanaopenda nchi yao na watu wake. Tanzania love you na keep Good Work.

Mh. Lema unaweza usione Matokeo ya Hotuba hii lakini tunakueleza 'Imefika kwa Wote Wananchi na Hasa Wale Tunaoleta Mabadiliko Tanzania.

"Chadema is a Movement and will not diminish until All Tanzanians are Free"
 
niaibu na fedhea kwa serikali maana kwa akili ya kawaida hata kwa mtu hajaenda shule anajua nini serikali yetu inatenda. Leo hii Lukuvi unadiriki kuhadaa umma Lema anachochea chuki kwa srikali. hili halinaubishi kuwa serikali na chama tawala kinachukiwa kuliko mnavyofikiria hasa katika kitengo cha polisi, magereza, usalama wa taifa maana hatuoni kama wanafanya kilekilichokusu diwa bali wanafanaya kwa kuridhisha uongozi ulioko madarakani. sheria zipo ilizifuatwe lakini inapotokea kunakundi liko juu ya sheria basi hii ni aibu na utumwa kwa hizo idara ndani yanchi yetu. nashauri tu Naibu speaker na na viongozi wote ndani ya bunge kumbukeni nini maana ya sheria hamko hapo kuonyesha u ji nga wala we hu wenu pengine akili zenu zinaweza kuwa zinaupungufu kwa kufikiria au elimu zenu zina element ya kuibia taarifa ya Lema sioni kosa ni just kukaa chini nakutafakari kama serikali na kujirekebisha lakini kama hamtaki subirini 2015 itakuwa aibu watanzania wanaona ujuha mnaoufanya may be kwakuwa wengi mmezeeka mtasingizia mnastaff lakini ukweli utabaiki pale pale mziki hataucheza maana mmejisahau sana.
 
Back
Top Bottom