FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

Lema amedhihirisha kwamba elimu ya uraia inampa ujasiri wa kuhoji uvunjifu wa haki unaofanywa na serikali yetu. He is so smart for real.
 
Ana haki ya kupokewa na vijana kwani ndio waliomfanya akaupata ubunge hivyo vijana kama wako tayari kumpokea kamanda wao nadhani ni vizuri 2 hakuna ubaya na kama kawawakilisha vyema ndani ya bunge basi anastahili heshima ya kupokewa.
 
Kutolewa nje kwa Lema, Msigwa na Lisu hakujaathiri kitu kwa kuwa ujumbe tayari umeshafikishwa bungeni na wananchi tumesikia.

Haki haishindwi kamwe, kwani mbio za sakafuni huishia ukingoni

 
Niliwahi kusema huko nyuma kuwa wabunge wa ccm wanatumia wingi wao bungeni kupambana na CHADEMA wakidhani kuwa CHADEMA ni chama cha siasa tu. Hii ni fikra potofu na naweza kusema CHADEMA ni 'Movement' ya watanzania waliopigika kimaisha chini ya utawala mbovu wa ccm. Na kwa maana hiyo CHADEMA (wananchi wa kawaida) ni wengi kushinda hiyo idadi ya ccm bungeni na mbaya zaidi ni wananchi hao wenye kauli ya mwisho juu ya nani arudi bungeni. CCM wanaweza kutumia kiti cha spika (DODOMA) kuzima hoja za wabunge wa CHADEMA lakini huku mtaanni hawawezi kuzima CHADEMA - Poeple's power. Hii hatari kubwa sana kwa ccm and the sooner they realize this the better.

Nashauri baada ya mkutano wa bunge kuisha Dodoma, CHADEMA ipite kila mahali kuelimisha umma wa Tanzania kile kilichopitishwa kwenye bajeti ya kila Wizara ili wananchi waweze kuwabana wala rushwa kwa karibu zaidi. Chambueni bajeti moja hadi mwisho na mapungufu yake na semeni waziwazi ni wapi hoja nzuri ilikatiliwa ili wapiga kura wajue wawakilishi wa kweli ni wepi na FEKI ni wepi.
 
Nimechoka na zile shukrani pale mwanzoni kwa kweli sijaisoma yote! Hivi hawa wabunge kwanini wanapenda airtime? Angeanza na issues sasa hapa pragraph 7 upupu mtu...shukrani anaweza zifanya nje ya bunge. Naendelea kuisoma
 
Kopi ya hotuba yake inagombewa watu wanainunua kwa sh500.
 
Wananchi sasa ndiyo wakati wao wa kujua mchele ni upi na mpunga ni upi.
chadema wote MAJEMBE! Unatoa kitu unaweka kitu. Igunga lazima kwa chadema, watu wamenyanyasika vyakutosha, ccm wamewapumbaza kwa mgongo wa amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wao. hongera Godbless Lema, bajeti imekaa sawa
 
Kwa kweli upinzani umejipanga! Kila laheri CHADEMA na Lema....Angalizo Msiwe kama magamba na hizo shukrani
 

UTANGULIZI-----------------------

"...Mheshimiwa Spika, natoa pia shukurani zangu za dhati kwa familia yangu, Mke wangu Neema Lema, watoto wangu, Allbless Lema na Brilliant Lema, na wazazi wangu wote, Mzee Elibariki Jonathan Lema na Mama"

Salama kama hizi nadhani waachie CCM, inatosha kushukuru wapiga kura, chama na ofisi ya Bunge; Huo ndio ushauri wangu.

Otherwise CDM wamejipanga kuliko hata serikali iliopo madarakani sijui kwanini hawataki kupisha ili hili hii nchni isonge mbele.
 



Salama kama hizi nadhani waachie CCM, inatosha kushukuru wapiga kura, chama na ofisi ya Bunge; Huo ndio ushauri wangu.

Otherwise CDM wamejipanga kuliko hata serikali iliopo madarakani sijui kwanini hawataki kupisha ili hili hii nchni isonge mbele.

Umeona eeehhh! I hate this kind of slogan....wengine hushukuru hata vimada wao na walevi wenzao......
 
Nadhani ccm wataanza kumweka Lema kwenye group la wabunge makini wa kuogopwa, wamekuwa wakimpakazia eti ni mmchochezi na mara nyingi inakula kwao maana siku zote hoja zake huwa ni mwiba sana kwa serikali.

Kadiri siku zinavyoendela wanazidi kugundua kuwa Lema ni makini na jasiri kuliko hata wale ambao wamekuwa wakiwaogopa.

Kwa mwendo mtindo huu sijui wataponea wapi maana kila upande wamebanwa. Bado wizara ya sheria mdee lazima atawaliza!
 
Back
Top Bottom