Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,366
Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Waziri Mkuu wakati anahitimisha mjadala kuhusu bajeti ya Ofisi yake, alikubaliana na ushauri wa Kambi rasmi ya Upinzani, na kuahidi kwamba serikali itaanzisha mahakama ya kuchunguza mauaji hayo, yaani Coroners Court, kwa mujibu wa Sheria ya Uchunguzi wa Vifo, (The Inquest Act) Sura ya 24 ya Sheria zetu.
Mheshimiwa Spika, Kambi rasmi ya Upinzani inachotaka sasa ni kuona utekelezaji; Je, ni lini Waziri mwenye dhamana atatangazauteuzi wa kuundwa kwa mahakama hiyo katika Gazeti la Serikali, ili wauaji wahukumiwe? Tunataka uchunguzi ufanyike haraka ili haki iwe itendeke mapema.
Kutokuwepo coroners court ni mfano wa viongozi kushindwa kutawala nchi, hii taasisi ipo kisheria kinachotakiwa ni waziri wa sheria kuandika majina ya coroners na kupeleka Governement Printers ili iwe gazetted na hapohapo wanaanza kazi.
Je nu kweli tunahitaji upinzani kukumbusha hili?
Imekuwa ni sehemu ya utendaji wa nchii hii,
Hatuna wakuu wa mikoa kwa baadhi ya mikoa tunaona sawa tu, tume nyingi zimekwisha muda hakuna anayejua kukumbusha ili watu wateuliwe yaani mambo ya nchi hii yanenda mjinimjini