FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)


Utaendelea kuombea wengine wafe wewe ubaki hai ili ubashiri wako utimie. UPUUZI.

Kwa kuwa Serikali imeamua hakuna "lockdown" na kusisitiza kuzingatia ushauri wa kitaalamu kujikinga dhidi ya maambukizi, ni wajibu wangu na wewe kuhakikisha tunajikinga kuwakinga wapendwa wetu.

Kuendelea kuilamu Serikali na kuombea vifo ili vitokee kuthibitisha unachotaka kitokee ni akili ya MTU MZIMA HOVYO.

JILINDE UMLINDE JIRANI
 
Bora kukosa mali,upate akili..........kwani elimu ni bahari haina mwishoooooo


Anayeukumbuka hii ngoma aiweke hapa maana hizi story za Corona hata wenye mali na wamekosa akili wanapost.

DJ lete ngoma hiyo
 
Mbowe nae ashauri mambo ya msingi anajua kabisa Serikali haina pesa halafu kakazania watu wajifungie....
Mimi sikuona la maana aliloongea Mbowe, alizunguka zunguka lakini mwisho wa siku anachokitaka yeye ni lockdown. Nilitegemea ataomba serikali iwapunguzie Waheshimiwa Wabunge na Mawaziri asilimia fulani ya mishahara yao ili ielekezwe kwenye mapambano dhidi ya Covid-19 lakini wapi, chezea Mangi kwa pesa wewe...!!!
 
Muwe mnahusisha kichwa uchumi gani inafanyika kwenye kifo mnaambiwa hamja lockdown lakini tayari kuna slow down,kwa uzoefu wangu njaa inayo uwa ni ile ya ukame kama Sudan na sehemu nyingine,hiyo njaa kwenye green labda uwe less intelligent,mifano mnayo chukuwa ni ya mbali sana mbona Rwanda wakenya na uganda wame control
Maambukizi
 
Anajenga lini ofisi ya chama?
 
Wewe umeona wapi nimesema wamemaliza kupima? Relaxiii umepaniki!

Unajiita mzalendo. Mzalendo gani mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na pumbavu hilo ni moja wapo la MAZEZETA ya if.yeye anafikili walioingia lockdown walifanya kwa kupenda.ni Hali mbaya ya maambukizi ikawalazimu. Uzuri covid ni kama upupu uliolushwa juu kila unayempata anajikuna.huyo mpumbavu ajiulizi ilikuwa kawaida kuzika usiku?.
 
Lock-down has been a cure to pandemics worldwide if promptly effected irrespective of the economic and social pains that arise as effects. USA and other European countries you are citing of increased cases despite of the lock-downs were late to take such actions to tame the pandemic. Wanapambana na adui waliomfungia ndani huku wakizuia adui mpya kuingia. Thank you.
 
Watu wakina njia, ni faida kwa upinzani. Tatizo ni mfumo wa waafrika, ya kuchelewa kuendelea sababu ya ukoloni. Nchi yeti ndio kwanza inajaribu kujitutumua kwa kurumia wataalamu wetu wenyewe. Wako wachache sababu ya muda wetu tangu 1961/2020. Tunataka kushindana nchi za miaka 250......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vile vile ni Aibu kwa Mtu Mpuuzi tu kama Wewe na huyo unayemtetea Kuficha Wanaougua huku mkikimbilia Vijijini mwenu!!
Hao wanaougua na kufichwa ni mama wako?Ni baba wako au ukoo wako mzima?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
This is an exellent speech. It takes care while outlining the preventive measures to be taken. Bravo Freeman! Bravo CHADEMA! "Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni".
 

Sio ubashiri uwo ndo uhalisia

Gonjwa kama hili lenyewe njia tofaut tofaut za kuambukizana hata ubadilishe mask siku nzima still ukawa unakutana na watu tofaut tofaut lzm utaambukizwa tu
Visa vipo vingi fatilia italy watu wapo ndani na lkn still bado wanakufa kwasababu baadhi ya watu bado wanatoka nje na wanavibeba virusi kwenye miguu sasa just imagine kwa sisi ambao tupo nje na mishe zinaendelea kama kawaida

Ukiendelea kubisha ctokujibu maana ntakuona mpumbavu
 
Bora huyu 1000x² Kuliko kile kituko cha hotuba cha mzee barakola.
 
Kwa hiyo ushauri wako ni upi?
 
Bila shaka utakuwa unategemea mshahara wa serikali, njaa sio lazima nchi ikauke iwe kahawia tuseme gunia la maindi wanauza 10000 na wewe hiyo 10000 huna utafanyaje waza vizuri kisha fikiria vyema vyakula vinaweza kuwepo ila pesa ya kununua hakuna, mwingine anakula milo mitatu mwingine mmoja sio kwamba hicho chakula cha milo mitatu hakipo bali ni fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…