FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Duh..! Ila Yanga poleni Sana..Maana kwa jinsi hii mnaonyesha Ukubwa mmeumisi na Mnaulilia Kweli Kweli...!

Yaani , Ukubwa hapa Barani Afrika Haujitangazii Wewe. Wapo Wenye Mpira wao Afrika Wanaitwa CAF.

Hawa CAF ndo huwa Wanasema Fulani ndio Mkubwa Namba moja Afrika, na Fulani ni Mdogo namba mfano 56 Afrika.

Hivyo Simba Pale Namba Saba kwa Ukubwa hajajitangazia.

Ushauri : usikate tamaa, Hizi ni Hatua za Ukuaji unapitia. Hata Giant Simba Afrika alizipitia,Siku moja Utakuwa Mkubwa Kama Simba na CAF ndo watasema.
So Relax....
analazimisha furaha na venye hamna.
 
*Shekhan hamna kitu pale
*Kaanguka ndio ameanguka kabisaa (beki wa pembeni lakini muda wote anafikiria kupeleka mpira kati)
*Kibwana kiwango kimeshuka sana
*Mkude kiwango kimeisha

Yanga tulifungwa, tena kwa penalt... Kinachosaidia marefa wetu ni mashabiki
 
Refa kaona aibu kuongeza dk nyingi baada ya dk 90!! Yule wa juzi aliamua lolote liwalo na liwe!! Aliongeza dk 7 pamoja na kutokuwepo kwa tukio lolote la kusimamisha mchezo!
 
Back
Top Bottom