Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,447
- 29,857
Samba loketoooo
Huko uwanjani hapatoshiHilo shangwe sasa
Nchemba kakaa kwenye switch ya umeme 😂😂Huu umeme ni nchi nzima!!??
Maana nipo hapa panapotarajiwa kuzalisha megawati 2000+ lakini ni giza totoro,nikiuliza sehemu nyingine naambiwa giza pia.
Samba loketo...Wale mliokuwa mnataka samba mnaliona, au mnataka mje na ujinga wenu baada ya mechi?
Sambaaaaaaa[emoji23][emoji23]