SawaPrison wajiandae kisaikolojia
Umesema! GENTAMYCINESimba kainamishwa tayari
Nilimaanisha watu waliodhani mchezo ule ulionyesha uimara wa Simba hawakuwa sahihi.Jwaneng ni wazuri kuliko Simba sema Simba wanamamboyao ya kipuuzi ndiyo yanayo wapa ushindi.
ukiweza kuwadhibiti wasiyafanye unawafunga vizuri tu.
Okay.Am doing fine, thanks.
Wadau wanasema eti ule uchawi umewagharimu..Simba kama uyoga tu leo mboga kesho sumu
Yah! Na hiyo Mtani.Yani bila kusahau na Kagera mtani
🤣Hongereni sana Wajela jela, mmejua kutuzibia watu midomo
Nadhani tuliishia kuhonga waamuzi tukasahau kuhonga washambuliaji wa Prison wasitufunge, kilichotokea ni msiba!Mliotazama hii mechi
Simba tulifeli wapi?
Azam ana kiwanja chake, na bado anafungwa...Moja ya sababu kubwa sana ya hizi timu (kubwa) kupata matokeo hasi ni kutokuwa na viwanja vyao wenyewe.