Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 5,618
- 11,496
Manula kaweka mkeka.
AaahaaaaUkiachana na mapenzi, hakuna raha nyingine nnayopata kama kuona Simba akipata matokeo mabaya.
Nakazia Mkuu. πUkiachana na mapenzi, hakuna raha nyingine nnayopata kama kuona Simba akipata matokeo mabaya.
π€£π€£π€£Nakazia Mkuu. π
Bila dawa neverr...Meza inapinduka hii
πππππ lol.ππππ€£π€£πππππππππ€£π€£
Yes... Alibaki kuota jua..MANULA kama mtu wa mwisho anapaswa kuona makosa mapema.mara..