FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Nawakumbusha tu game ya mzunguko wa Kwanza walitangulia Hawa Prisons kwa goli la mapema kabisa.

Ila mwisho wa game walikula 3 hawa.
Leo watakula 5.
Nipigwe ban Maisha yangu yote mkiifunga Prison 5 we unadhani Prison hii ni mdebwedo hawa wako smart...
Baada ya Yanga timu inayocheza soka Safi Kwa sasa ligi kuu n Prison na hizo butua butua zenu Leo mtalowa
 
Well Noted 😃
 
Ukiachana na mapenzi, hakuna raha nyingine nnayopata kama kuona Simba akipata matokeo mabaya.
 
Ila JAMANI KIBU tunaenda naye tu hivyo hivyo..
Huyu mtu anaweza kutumika tu kama SUB pale ambapo mpinzani ameshatoka...lakini kumtegemea kama 11 eleven huyu mchazaji hana akili sana za kimpira
 
Back
Top Bottom