Haaaaaaah shuleni ulienda kusomea nini?Dah leo Simba wanafuturu vyura.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwehu..
Tulipowapigeni 5-0 na 4-1 hiyo comeback ilikua wapiNiwakumbushe tu sisi ndio king of comeback [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho najiona nikisikiliza vipindi vyote vya michezo kila Redio.[emoji1]
Mbona mapema jamani
Nacheka sanaaaDah! Leo naona watu wamekataa kununuliwa!! Siyo kwa kutukazia huku. Wachezaji wetu leo wanacheza kama Ihefu Fc.
[emoji23] Kujifariji muhimu sanaYanga bado tupo pamojaaaa
Hahaa kumbe nawe ni uto, unasiku mbaya sana leo pole inadvance kabla ya 90min.Rafiki yangu we kama umefunga basi itakuwa umefunga mkanda..!
Ahsante..!!😂
Kwamba kwenye mechi za Simba Sc na Yanga siku zote ni draw tu?Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Sanaaaaaa [emoji23]