Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,747
- 14,956
Huwa nacheka tuNa kuna watu bado wanamfananisha Chama na vitu visivyofananishika....
Huwa nacheka tuNa kuna watu bado wanamfananisha Chama na vitu visivyofananishika....
Da wachezaji wetu walizubaa Sana. Ila game bado hiiDah! Wananchi tumeloa ndembendembe! Ngoja tusubiri haya mabadiliko kama yataleta tija. Ila kipindi cha kwanza viungo wa kati wamecheza nyoronyoro sana.
KabisaaaKwa haya mabadiliko Simba wawe na utulivu mkubwa sana..
Hizi sub niliziona zitaleta kituToa sureboy na mamnyeto! Weka muhadhir na ki Aziz, hapa ndo ntaona kama Kuna tactical changes zozote
Relax, angalia plan za Nabi.Mtani niache hebu. 😂😂😂
Nimefuruggwa mbaya hapa. 😂
Poa poa Mkuu.Relax, angalia plan za Nabi.
Wabongo bwana 😂😂😂😂Kocha amekusikia
Yaaah , wanaume hatupendi Makelele ni kelele moja tu tunayo pendaIla nimekuja gundua wanaume huwa hampendi kelele za wanawake, (ukiacha zile nyingine)[emoji2960]
Kuna mama yupo nyuma yangu hapa ana makelele machine ikasome, wana wanageuka wanamtazama kwa mshangao kisha wanarudi zao mbele..!![emoji23]