FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Hizi dakk 15 za mwanzo yanga watatafuta goli kwa nguvu sana, na wakifanikiwa wataongeza la pili haraka
 
kuna mtu ana ka simu ka dogo alilalamika wachambuzi wanamzibia screen nzima akiwa anataka kutype kitu au kusoma jambo
Why sasa au tulikua tuna wakasirisha tunavyojazana kama tupo kwny foleni ya kupata namba ya NIDA
 
Back
Top Bottom