Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,285
- 35,806
Mimi mvua inanyesha...JAmani jamaniiiii jamaniiii ssinapa kushika nimevaaa dera najiona nimenenepa limenibanaaa si kwa raha hizi
Ila ninatoka jasho si kawaida.[emoji1787]
Leo ni leo...
Mimi mvua inanyesha...JAmani jamaniiiii jamaniiii ssinapa kushika nimevaaa dera najiona nimenenepa limenibanaaa si kwa raha hizi
Nilikua misa ndo narudi home kipenzi nakutana na hayUlikuwa wapi jamaniii
Hatari hii jamani leo mbona wananchi tumetepeta hivi kama mlenda vugu vugu
Aaaaaaah....Mtani.Acheni kunisumbua nyie makolo, niko kusaidia kutoa maji Makao Makuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2590050
Kuanzia saa ngapi? 😂😂 tulia dawa iwaingie. Inachomwa kwenye mshipa hii, ukitingishika tu unaumia
Hii hata kama sina Decoder naweza tumia? Kwa maana hainilazimu kwanza kuwa na mwenye usajiri wa Decoder?Tumia Azam max mkuu. Kwani uko wapi?
Nadhani Morrison anafaa zaidi ila hatabiriki ndio tatizo.Plan B ni kina mudathir, Kina Kibwana ila asimdakishe mettacha hakya Mungu hawajatofautiana sana na Manula
Pia Aziz Ki huwa ana kismet cha magoli hata akiingia dakika za lala salama
Acha kabisa my dia hawa vyura pumbavu zao wameingia cha kikeMimi mvua inanyesha...
Ila ninatoka jasho si kawaida.[emoji1787]
Leo ni leo...