FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan unanichukuliajeee??

Kitu naumiaga n Jesus kutoka City, yaan yule jamaa daah.

Wee huku city mie ni fan kindaki ndaki
Pep huwa hafagilii makunyanzi yaani mshikaji wake ni Gundogan tu wengine wakileta mashauzi uwa wanafunguliwa milango ya kutokea.
Nipangie basi hicho kikosi Cytzen lia lia 😂😂😂😂
 
Pep huwa hafagilii makunyanzi yaani mshikaji wake ni Gundogan tu wengine wakileta mashauzi uwa wanafunguliwa milango ya kutokea.
Nipangie basi hicho kikosi Cytzen lia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheeee leo niko buzzy na simba, citizen ntakupangia kikosi siku ya 2nd leg Ft Bayern quarter final
 
Nilitaka nishangae hawa walioshindwa klabu bingwa na kuangukia shirikisho ndio watufunge sisi?
 
Nataka first 11 Bestiie kama ile ya Liverpool inayojulikana na kila mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bhanaa sisi wapo wengi wanabadilishana, tuna kikosi kipanaaa.
Kwan hapa naomba KDB awe mzima jaman lol
 
Back
Top Bottom