News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Mabingwa wa Tanzania wale wengine ni mabingwa wa Tanganyika....
UBUNTU BOTHO
Kwa bahati mbaya huyu bungwa wa Tanzania kama hatoshika nafasi ya pili kwenye ligi ya Tanganyika, basi ubingwa wake wa Tanzania hautomfanya ashiriki klabu bingwa Africa msimu ujao
 
Kwa bahati mbaya huyu bungwa wa Tanzania kama hatoshika nafasi ya pili kwenye ligi ya Tanganyika, basi ubingwa wake wa Tanzania hautomfanya ashiriki klabu bingwa Africa msimu ujao
UBUNTU BOTHO
 
Hongereni Watani Mje Mchukue Na Ligi Kuu Huku Maana Msimu Wa Tatu Sasa Mnaliangalia Tu
Huwa tunaliangalia tu huku tukiruka kimataifa zaidi. NBCPL haina mshiko kama wa CAFCL, tumepiga hela ndefu sana huko kwa muda mrefu mrefu. Tuna utajiri wa kutosha kuliko nyie manaochukua ligi ya NBCPL na bado mnabaki kuwa akina pangu pakavu tia mchuzi 😁
 
Back
Top Bottom