News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

20240427_194108.jpg

Chama hili hapa Wadau.
Tulichambue
 
Vibertz kutoka Kitumbi Nkunya Kilwa Tanzania nasema wewe Azam, vunja vunja hao wachezaji wa muhimu wa Simba ili kumkata makali kwenye mbio za kutafuta nafasi ya pili kwenye ligi kuu.
 
Hivi hawa wachezaji wa Simba wanavyocheza bila ya akili ya kimpira au kujituma wanategemea nini hasa? Ni timu gani itawachukua wakiachwa kwa uchezaji wao huu? Au ni wachezaji wazuri ila wako na mgomo baridi?
 
Back
Top Bottom