Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,231
- 55,476
Mpira wabongo 🙌🙌🙌🙌Na simba tunajipigia tu😅
Mpira wabongo 🙌🙌🙌🙌Na simba tunajipigia tu😅
UEFA mtakutana na BayernIkija UEFA msitusogelee
Mimi kwa mbalii😅Mpira wabongo 🙌🙌🙌🙌
Ngoja leo mtoe droo ndio akili ziwakaeUEFA mtakutana na Bayern
Najua pale Emirates Atletico mtamfunga japo kwa shida.
Ila Bayern atawafanyia zahma hamtaamini.
Mi tangu mpira uanze kutumika kama jukwaa la watekaji nikaachana nao nimebaki na Real Madrid & Manchester United.Mimi kwa mbalii😅
Droo labda ya kabatiNgoja leo mtoe droo ndio akili ziwakae
Hamjafunga sio kwakua nyie ni bora, ni kwasababu sisi ni wazembe.Man U wachumba tu kwetu,,
Youll never walk alone
A few moment later 😂 🫵😎☝️🤣Hawa Liverkuku tunaweza kuwarudishia zile 7 zao