FT: Manchester United 3-2 Liverpool | EPL | Old Trafford | 3 May 2026

FT: Manchester United 3-2 Liverpool | EPL | Old Trafford | 3 May 2026

Dorgu amerejea kutoka kuuguza majeraha yake and he's doing great work
 
Liverkuku wanategemea kurudisha goli kupitia mianya ileile waliyoipata kwenye goli 2 tulizokuwa tunawaongoza
 
Uzembe wa hali ya juu , kurudishiwa magoli
Kabisa tena hili likawe mjadala huko dressing room

Maana kupata nafasi ya kufunga goli 2 kwenye timu kubwa haiwezi kuwa rahisi.

Ni bahati tu leo tumekutana na viande ambao hata wakichomoa tunafunga tena.
 
Back
Top Bottom