From the green world to a black world

From the green world to a black world

Dah!!! Mkuu yan wewe acha tu sema napenda sana unipatie elim ya hiyo kitu, make hufikia sehem simwelewi huyu jamaaa life style yake, nakumbuka kunababu alikujaga kwa mama mdogo asa na dogo alikua kule kesho ake yule mzee kuamka tu,

Akaanza uliza huyu ni mtoto wa nani??? Make usku kanisumvua sana yan, na hapo yule mzee akaanza shuka kuwa, dogo atakuwa na kazi flan asa cha ajabu hakuwa ata anajua yule jamaaa amesoma na alisema atatafutwa akiwa home tu,

Ni mengi sana aliyaongea make na yeye huwa ni mganga wa kienyeji asa cha ajabu yule dogo hajui hata moja kuhusu maswala ya kumsumbua yule mzee.

Sema jamaaa anapendwa sana om na kwa vile ananidham sana waweza sema kutushinda wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadithi za mizimu zinapatikana kwa huyo dogo.huyo ndio watu wasiotawalika jabari la majabari.kwingine utadanganywa ila hicho ni chombo chenye mizimu.
 
Muh!!! Sawa mkuu ngoja tuendeleee kuona,,

Lakin hili swala la yeye kutabiri mambo yatakayojiri katka familia akiwa na umri wa miaka mitatu tu na kweli toka 1997 mpaka leo yanaendelea kujitokeza , hili limekaaje na huo uwezo alipata wapi??? Na kwann ukubwan upoteee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muh!!! Sawa mkuu ngoja tuendeleee kuona,,

Lakin hili swala la yeye kutabiri mambo yatakayojiri katka familia akiwa na umri wa miaka mitatu tu na kweli toka 1997 mpaka leo yanaendelea kujitokeza , hili limekaaje na huo uwezo alipata wapi??? Na kwann ukubwan upoteee??

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa dini huwaita manabii ni zawadi mtu apewayo mtu na mamlaka kuu iitwayo Mungu.Uwezo huo hupotea sababu haufuatiliwi na mara nyingi elimu ya mtu kama huyo huchangia,kisha mara nyingi watu hawakawii kuihusisha nna mapepo.lakini sisi watanzania huita nguvu hizo kuwa ni Mizimu.Zamani watu namna hiyo walikuja kutokea kuwa machifu.Wapogoro mpaka leo wanawaita mambuyi.Ila kitanzania ni Mizimu anayo.
 
Ah ushakosea masharti. Umeambiwa usimwambie mtu dah

.
Hahaha sio kila kitu nisimwambie mtu, na kingine mkui yenye faida kwa wengi huyasema tu.

Mfano nilikuaga naota maswali ya pepa nilkua nawatonya tu wana tena uzuri ilikuaga hata mwezi mmoja kabla ya pepa.

Afu mkuu kunakipindi ilikuaga nachoka nikawa natamani nisiwe naota niliombewa sana na nikaambiwa sijui lala na vitabu vya din, wengine wakaja weka mkaa kichwan, nasali kabla ya kulala lakin.

Haikusaidia na niliona kama nachochea tu lakin sku izi nishaacha kila kitu kijiendee tu, na nmetokea kuyapenda sana maosha ya ndotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa dini huwaita manabii ni zawadi mtu apewayo mtu na mamlaka kuu iitwayo Mungu.Uwezo huo hupotea sababu haufuatiliwi na mara nyingi elimu ya mtu kama huyo huchangia,kisha mara nyingi watu hawakawii kuihusisha nna mapepo.lakini sisi watanzania huita nguvu hizo kuwa ni Mizimu.Zamani watu namna hiyo walikuja kutokea kuwa machifu.Wapogoro mpaka leo wanawaita mambuyi.Ila kitanzania ni Mizimu anayo.
Mkuu asa anawezaje rudisha tena huo uwezo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sio kila kitu nisimwambie mtu, na kingine mkui yenye faida kwa wengi huyasema tu.

Mfano nilikuaga naota maswali ya pepa nilkua nawatonya tu wana tena uzuri ilikuaga hata mwezi mmoja kabla ya pepa.

Afu mkuu kunakipindi ilikuaga nachoka nikawa natamani nisiwe naota niliombewa sana na nikaambiwa sijui lala na vitabu vya din, wengine wakaja weka mkaa kichwan, nasali kabla ya kulala lakin.

Haikusaidia na niliona kama nachochea tu lakin sku izi nishaacha kila kitu kijiendee tu, na nmetokea kuyapenda sana maosha ya ndotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief naona una uwezo wa kuwa bakhresa. Mpaka sasa ushafunguwa kampuni??

.
 
Hahahaha hapo kwwnye mapepo umenena, yanashaambiwa sana na watu wa dini na warishajaribu ombea lakin, walirudisha tu chenji, sema maza huwa anamkazia sana kuchunga kinywa chake kuwatamkia watu mabaya. Sema jamaaa mpole kupitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sio kila kitu nisimwambie mtu, na kingine mkui yenye faida kwa wengi huyasema tu.

Mfano nilikuaga naota maswali ya pepa nilkua nawatonya tu wana tena uzuri ilikuaga hata mwezi mmoja kabla ya pepa.

Afu mkuu kunakipindi ilikuaga nachoka nikawa natamani nisiwe naota niliombewa sana na nikaambiwa sijui lala na vitabu vya din, wengine wakaja weka mkaa kichwan, nasali kabla ya kulala lakin.

Haikusaidia na niliona kama nachochea tu lakin sku izi nishaacha kila kitu kijiendee tu, na nmetokea kuyapenda sana maosha ya ndotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote waliokuombea usiote walikuwa wapumbavu.
 
Awe mtu wa kusali na kuomba Mungu amrejeshee uwezo wake.Hao jamaa hawapo mbali watakuja na mambo yataenda.Hawataki kupuuzwa ni hayo tu.
Sawa mkuu nitajaribu mweleza japo sku izi maswala ya kusali jamaaa huwa anasema imekua biashara tu na hivyo yeye anasema anaamini mungu na anasoma vitabu vya dini na kuyaishi maisha kiuharisia kama bila ujanja ujanja wala kumuudhi mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nitajaribu mweleza japo sku izi maswala ya kusali jamaaa huwa anasema imekua biashara tu na hivyo yeye anasema anaamini mungu na anasoma vitabu vya dini na kuyaishi maisha kiuharisia kama bila ujanja ujanja wala kumuudhi mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye aswali na kuwa mcha Mungu tu na kuomba hizo nguvu ziwe zinatenda basi wakati ukifika atakuja furahia maisha.Dunia ya leo inataka watu kama yeye.
 
Asante mkuu kwa elim ako nami nitaiwasilisha sehem husika,, na kwa uelewa sababu huwa nakaa naye mara nyingi mi naona huwa inatenda sana kazi. Nakutakia tu jion njema tuombe uzima tupate yashuhudia mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha bora ni KIARABU.

Vigezo viko vingi,hasa hasa imejitosheleza kwa yenyewe,hapa siongelei ukopaji wa meneno la hasha,hapa nazungumzia ufasaha wake,historia,mjengeko wake na una fani nyingi za kuhusu lugha yenyewe. Kadhalika ina hazina kubwa sana ya elimu.
Aiseee.. hatari kubwa
 
Mwanadamu ana hali ya kuabudu. Ipo katika utu wake akiwa mzima wa akili.

Kukiwapo ombwe, maswali au wasiwasi huzuka.

Wasiwasi juu ya kifo na hali nyingine za maisha huongezeka.

Hatma ya uwepo wake hapa, hujaza fikra zake.

Katika mahangaiko yake kutafuta majibu, ndipo anaangukia katika dhana za dini, sayansi, consipiracy.

Akihisi kapata majibu, hufikiri wengine wote hawajui au wanakosea.

Kuhusu mada:

System ni nani? Kama ni watu je wao pia ni waathirika au ni tofauti na wengine.

Je ni viumbe tofauti?

Je ni maumbile kama dunia.

Faida na hasara ni kwao 'system' ni ipi?

Kama ni wanadamu basi ni ujanja tu na haudumu. Hakuna cha mwanadamu kilichodumu zama nyingi.

Kwa vyovyote vile hilo kuwepo au kutokuwepo kwa system hatuondelei kifo.
Ambacho kuna wanaopanga, lakini kinatuchagua.

Twendeje, Turuhusu fikra zetu zifanye mazuri sasa. Maana wanadamu wote kwa namna zao huukiri wema huwaletea furaha.

Miaka michache itumike vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hapo ulipo nikupe pongezi sana mkuu umeandika waraka muhimu sana sambaza kadri uwezavyo
 
Back
Top Bottom