From the green world to a black world

From the green world to a black world

Dunia ni kama pori,kuna watu waweza wafananisha kimakundi kama yalivyo makundi ya wanyama mwitu."nitadadavua".kuna makundi matatu hapa,kuna wanadamu ni sawa na Tembo simba chui na fisi halafu na nyoka.Tembo ni mnyama mpole mkimya na mwenye nguvu.hana taabu wala shida na yeyote hachokozwi hachokozi ila akiudhiwa wote mtaona hali halisi.Sasa hawa wasiogusika hawa ni watu wenye kila kitu ila ni hatari ukiwagusa.Simba mfalme mwenye nguvu asiye na mpinzani,aliyeumbwa kutawala huwinda si sababu ni mkorofi kuwinda ni sehemu ya lishe yake kwa hiyo yeye hana tabu.hawa ni watu jamii ya akina reginarld Mengi na kariba hiyo.wana kila kitu ila unapotaka kuwadhuru wana kinga kubwa itokanayo na asili ambayo wengine wanaiita "Mungu".Hawa wanaitawala dunia kwa nguvu ya asili na nguvu iliyojengwa kibinaadamu"fedha na mali"huheshimiwa hata na mmlaka za kinchi na kijamii.Halafu wapo chui hapa kuna wachawi,majambazi,wachochezi,mafisadi na wanaadam wote walio na tabia za kishenzi na kizandiki.Wengi hapa ni wanasiasa na matajiri wenye dhulma watu watumiao mamlaka au nguvu zozote nyeusi kupata chochote.Hawa hupatikana katika kila jamiii kulungana na hadhi tofauti za kihali na kimali.
Ni waharibifu na wenye tamaa wasiopenda wengine wapate na kufanikiwa,wengi hawalijuagi hili ila watu weupe wengi haswa wazungu wapo kundi hili.hutaka kuonekana wao bora zaidi wawe na kila kitu wao waonekane wao na kumzuia yeyote anaetaka kuchomoza.Hawa ndio msingi mkuu wa mada hii na ndio wenye kuiendesha hiyo iitwayo hapa system hawaogopi kumaliza hata jamii nzima kutimiza malengo yao.Nitamalizia na fisi na mfano ni polepole and the like.Nitarejea
 
Mkuu taamu pamoja na lifecoded ama hata wataalam wwngine naomba kuuliza japo iko nje ya mada kidogo, kuna watu huzaliwa na kinyama wameshika mkononi hao inakuaje???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mtoto anazaliwa ameshika kanyama mkononi au wapi...??

Hebu fafanua vizuri ili tuelewe ....fafanua kwa reference ya udhibitisho kwa macho yako pengine ulishuhudia hilo tukio...!!
Kwamba mtoto anazaliwa hospital ameshika kinyama...? hebu fafanua vizuri....
 
Kwamba mtoto anazaliwa ameshika kanyama mkononi au wapi...??

Hebu fafanua vizuri ili tuelewe ....fafanua kws reference ya udhibitisho kwa macho yako pengine ukishuhudia hilo tukio...!!
Kwamba mtoto anazaliwa hospital ameshika kinyama...? hebu fafanua vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni ya kweli kabisaaa tena anakua ameshika miononi, na kazaliwa hospital na sio hadithi za kusimliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au unamanisha anakuwa na extra kidole kidogo kinachoning'inia??,,....

Eti mkuu ni hako kakidole kananing'ia au kinyama gani unachoongelea wewe...ujue sijakupata bado...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio wale wanaozaliwa na vidole sita, bali naongelea mtu anazaliwa akiwa na kinyama amekishikilia mkononi na unaweza kikushika tu ukamtolea, make hakijashikana na ngozi bali kakishikilia tu kiganjan mwake

nikajua unaongelea hii hali..

Screenshot_20190114-165815~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umewahibkujionea kwa macho yako au story za kusikia...??

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhaa mkuu labda tu kwako imekua kama jambo geni, lakin naomba tu nikupe tu story fupi.

Kwenye familia yetu kuna mtoto alizaliwa hospital akiwa ameshika icho kidude na alizaliwa hospital, na kwakuwa wazazi hawakujua maana yake walikitupa kulekule na waliporudi nyumban walimweleza bibi hali hiyo, lakin bib aliwalaumu sana kwa kitendo kile na kusema wasingetupa bali wangekileta home.

Japo hakufaganua zaidi, na alipokua na miaka 3 aliweza waambia wazaz wetu future ya pale omu, kuanzia mama atajifungua mapacha na mmoja atafariki na mambo mengi tu kuhusu familia,

Na kweli ilitokea vile vile na mpaka leo huwa tu namuona maza anamwambia yule jamaa kuwa tunayoyaishi alishayaongea na japo kuna baadhi ya mambo hayajatokea, make mara nyingi maza hutupa story nusunusu kuhusu huyo mtoto ake ,

Lakin cha ajabu mpaka leo life style ya yule dogo huwa sielewi yan...... Hiyo ni kwa kifupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahha hapana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mambo hutokea kwenye jamii zenye ushirikina.Mama wa mtoto namna hiyo huwa aliwekewa au alifanyiwa kifungo cha kishirikina ili asizae salama.Sasa nguvu asili ya mtoto inahakikisha imemtoa mtoto na mtego wenyewe.Sasa watoto namna hiyo ndio huja baadae kuwa majabari wakisimamiwa haswa, maana hawawezekaniki.
 
Mkuu hayo mambo hutokea kwenye jamii zenye ushirikina.Mama wa mtoto namna hiyo huwa aliwekewa au alifanyiwa kifungo cha kishirikina ili asizae salama.Sasa nguvu asili ya mtoto inahakikisha imemtoa mtoto na mtego wenyewe.Sasa watoto namna hiyo nfio huja baadae kuwa majabari wakisimamiwa tena maana hawawezekaniki.
Duh!!!! Hili naweza liamin mkuu sababu huyo jamaaa ilifikiaga kipindi home kuna wale mapaka ya usku huja juu ya bati yanalia kama watu vile,,, akiwa ameenda kusoma kwa shikaji yalikua yanakuja lakin akawa anasema mimi leo siendi na wakija natoka kuwapiga , lakin haikuwahi jitokeza.

Nilikua napenda sana ile ligi itokeee na jamaaa alikua anasema siogopi mchawi asa ukimuuliza anadai tu kuwa hawana uwezo kivile.

Nakumbuka alikanyagwa na ng'ombe cha ajabu alikatika kidole kimoja tu nitatuma kapicha kake mida,

Na kile kidole kilikuja onekana kesho ake , asa kumbe ile ilikua ni ya kichawi na ilitakiwa kiende kutengenezewa dawa, sema tulikua tunaishi na mama wa kambo asa akakiomba kile kidole, na lisema akitunze mpaka mzee arudi asa jamaaa sku moja akaibuka kukisaka na kukiiba.

Sku iliyofata mama wa kambo alihangaika sana kusaka ndan sema hakuuliza na kuja amka ametoroka mpaka leo hakuwa kurud, jamaaa akajaga tu tupa story kuwa alitaka maza kile kidole akifanyie mambo.

Yan unaweza zania ni masihara vile, picha inafata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhaa mkuu labda tu kwako imekua kama jambo geni, lakin naomba tu nikupe tu story fupi.

Kwenye familia yetu kuna mtoto alizaliwa hospital akiwa ameshika icho kidude na alizaliwa hospital, na kwakuwa wazazi hawakujua maana yake walikitupa kulekule na waliporudi nyumban walimweleza bibi hali hiyo, lakin bib aliwalaumu sana kwa kitendo kile na kusema wasingetupa bali wangekileta home.

Japo hakufaganua zaidi, na alipokua na miaka 3 aliweza waambia wazaz wetu future ya pale omu, kuanzia mama atajifungua mapacha na mmoja atafariki na mambo mengi tu kuhusu familia,

Na kweli ilitokea vile vile na mpaka leo huwa tu namuona maza anamwambia yule jamaa kuwa tunayoyaishi alishayaongea na japo kuna baadhi ya mambo hayajatokea, make mara nyingi maza hutupa story nusunusu kuhusu huyo mtoto ake ,

Lakin cha ajabu mpaka leo life style ya yule dogo huwa sielewi yan...... Hiyo ni kwa kifupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo sawa mkuu nimekupata...vile siyo vinyama ...huwa ni aina flani ya IUD( intra Uterine Devices) ambazo huwa zinapandikizwa kwa mama kama alikuwa anafanya uzazi wa mpango kwa kutumia hivyo vifaa ...

Mara nyingi huwa vinapandikizwa kupitia uke wake via Cervix mpaka kwenye Uterus kuzuia implantation ..

Kama kiliwekwa vibaya huwa kinajishikiza kwenyr kuta za uterus na kinaweza kikatoka wakati mama anajifungua..

Hii hutokea nadra sana ...mama anaweza akawekewa IUD ili asishike mimba ila kama walikiweka vibaya kinaweza kisifanye kazi vizuri kisha mama kushika mimba na hicho kidudu huwa kimeundwa na Cupper materila huku kikiwa kinaning'inia kikiwa kinatoa hormones aina ya Levonogerstrol ( Progestin) ambazo huwa zinapandikizwa ndani ya hivyo vifaaa na kuwa vinatolewa taratibu kikiwa ndani ya uterus...

Hali hii hutokea pale mama alipandikizwa aina ya MIA Mirena, hii ni aina ya vipandikizi vile katika Intra uterine devices ambavyo ndo huwa vinaleta mushikeli flani namna ya kujiattach vizuri kwenye Fallopian tube au kwenye Uterus..

Hiyo hali imejitokeza mara kibao kwa wale wenye aina ile ya uzazi wa mpango lakini incidence occurance yake ni ndogo sana..
Screenshot_20190114-172142~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!! Hili naweza liamin mkuu sababu huyo jamaaa ilifikiaga kipindi home kuna wale mapaka ya usku huja juu ya bati yanalia kama watu vile,,, akiwa ameenda kusoma kwa shikaji yalikua yanakuja lakin akawa anasema mimi leo siendi na wakija natoka kuwapiga , lakin haikuwahi jitokeza.

Nilikua napenda sana ile ligi itokeee na jamaaa alikua anasema siogopi mchawi asa ukimuuliza anadai tu kuwa hawana uwezo kivile.

Nakumbuka alikanyagwa na ng'ombe cha ajabu alikatika kidole kimoja tu nitatuma kapicha kake mida,

Na kile kidole kilikuja onekana kesho ake , asa kumbe ile ilikua ni ya kichawi na ilitakiwa kiende kutengenezewa dawa, sema tulikua tunaishi na mama wa kambo asa akakiomba kile kidole, na lisema akitunze mpaka mzee arudi asa jamaaa sku moja akaibuka kukisaka na kukiiba.

Sku iliyofata mama wa kambo alihangaika sana kusaka ndan sema hakuuliza na kuja amka ametoroka mpaka leo hakuwa kurud, jamaaa akajaga tu tupa story kuwa alitaka maza kile kidole akifanyie mambo.

Yan unaweza zania ni masihara vile, picha inafata

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema tena dunia ni pana mnooo.
 
Usikimbilie kusema ushirikina mkuu hiyo hali ya mtoto kuzaliwa kashika kitu imeokana kwa kina mama wenye IUCD labda huyo mama yako aliwahi tumia IUD pengine...

Mulize vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema tena dunia ni pana mnooo.
Dah!!! Mkuu yan wewe acha tu sema napenda sana unipatie elim ya hiyo kitu, make hufikia sehem simwelewi huyu jamaaa life style yake, nakumbuka kunababu alikujaga kwa mama mdogo asa na dogo alikua kule kesho ake yule mzee kuamka tu,

Akaanza uliza huyu ni mtoto wa nani??? Make usku kanisumvua sana yan, na hapo yule mzee akaanza shuka kuwa, dogo atakuwa na kazi flan asa cha ajabu hakuwa ata anajua yule jamaaa amesoma na alisema atatafutwa akiwa home tu,

Ni mengi sana aliyaongea make na yeye huwa ni mganga wa kienyeji asa cha ajabu yule dogo hajui hata moja kuhusu maswala ya kumsumbua yule mzee.

Sema jamaaa anapendwa sana om na kwa vile ananidham sana waweza sema kutushinda wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikimbilie kusema ushirikina mkuu hiyo hali ya mtoto kuzaliwa kashika kitu imeokana kwa kina mama wenye IUCD labda huyo mama yako aliwahi tumia IUD pengine...

Mulize vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maza sie tulikua mapolini kule na hakuwahi panga uzazi, na safari ya hosipital ilikua sio poa mpaka anamaliza kutuzaaaa sie hajawahi tumia uzazi wa mpango,

Japo hilo siwezi lithibitisha lakin huyo dogo ni mtoto wa pili, na kwetu tumepishana miaka miwili miwili tu. Na kwa mazingira ya kule napatwa na ukakasi kuhusu kupanga uzazi.

Sababu hata watoto tumekuzwa sana na kunyweshwa miti shamba tu mpaka miaka ya 2000+ ndio wakajenga dispensary hata kujifungua walikua wanasafiri mbali sana na wengine walikua wanajifungulia makumbani tu.

Mama angu hata yeye hajui kusoma wala kuandika lakin ni mtaalam wa kuwadhalisha sana, na mara ya mwisho kamzalisha mke wa mdogo angu mwaka jana, make ilikua usku na usafiri changamoto, akamzalisha na akamfanyia kila kitu ndio wakampeleka hospital.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom