From the green world to a black world

ukweli tu usemwe kwenye jf kuna baadhi ya watu wanauchukia sana uislam na waislam wenyewe na vitabu vyao ,maana nmeifatilia sana uzi huu kutoka mwanzo mpaka mwisho na nimeona fact nyingi zilizohusishwa na biblia juu ya elimu ya siri na sjaona povu au kejeli ya aina yoyote but kwa watu wawili walioanza kushambuliwa bi faiza fox na zurri ndo nkajua kwa nini world order inasimama kwa dini ya kikcristo ambayo freemason wamejifichia ndani yake ili kukamilisha agenda zao na kiongozi ataesimama kama ndo leader atakua ni mkristu from catholic .sisi tunaelewa kua uislam unapakwa matope kwa kila njia ulimwenguni ili waliokua na roho nyepesi waamini kua waislam ni magaid ,na hatarishi katka ulimwengu kumbe kwenye uhalisia ni wrong ila naamini ipo siku ukweli utajuilikana tu .
Mkuu punguza Jazba, kuna article flani niliisoma kuhusu Forbidden knowledge na vitabu vilivyopgwa marufuku (unaweza ukagoogle) na ukiangalia in real sense mafundsho yale hayana tofauti na baadhi ya mafundisho ya kiislamu sorry for that but ndiyo ukweli ukija kwenye ukristo unagundua kabisa kwanini Book of Enoch kilitolewa kwenye biblia. Hii ni dunia ya sayansi na teknolojia ukiamua kuamka fanya hivyo peke yako usitake kila mtu afanye hivyo. Asante
 
Mkuu huyu jamaa kila uzi unaohusu teknolojia yeye anaingiza mambo yake ya dini na kuanza kupinga kwamba vitu haviwezekani
Huyu jamaa anaboa, nadhani anataka jF iwe inazungumzia dini tu
Kila thread inayozungumzia teknolojia jamaa anapinga f@#k
Uyo dawa yake mimi nimemsoma ana kadomo kama ndege john.
 
Tunaamini vp na hakuna sources yoyote, inayoelezea even half of that thing.
Mr lifecoded People won't understand you once you tell them you don't understand the presence of God particularly Africans.. kwa kuwaambia hutambui uwepo wa Mungu umewapeleka mbali sana they won't understand. Kama ujuavyo huwezi mchukua mtoto wa miaka 3 au 4 kisha umpeleke university first year, Yafaa zaidi umpeleke baby class, preUnity, Nursery kisha standard One then two na kuendelea. Hawa watu unaowaambia hutambui uwepo wa Mungu watakuona kama kichaa, tena Elimu yako kubwa uliyonayo kwao itakuwa haina maana.

Ipo hivi; Ukimwambia mtu Dini yako ni mbaya atakuelewa lakini ukimwambia Mungu wako ni mbaya hawezi kukuelewa hata kidogo ..its the bigin of endless war btween you.

Hawa watu nenda nao taratibu at the time they'll know the trueth.
Wape sababu halisi ya kutokuwepo kwa Mungu, na uwape source kwamba hii Elimu yako inayosema hakuna Mungu umeitoa wapi. Na ni lipi la maana kati ya kuwepo kwa Mungu na kutokuwepo.
La sivyo tayari umekwisha onekana mwendawazimu au ulie haribikiwa akili.
Hakuna utakae mweleza kitu akuelewe not only in Africa Duniani pote.

Wajapan ndio watu walioendelea zaidi in high technologies but wana Miungu yao wanayo iabudu na watu wana imani zao kuhusu Mungu. Mimi nipo hapa Japan naona. Hao hao unao sema wanaiongoza Dunia in hidden secrets wanayo Miungu yao ipo wazi kabisa na wanafanya ibada zao nzito nzito na za kutisha.. Kiasili ni kwamba Binadamu wote ndani yao wana asili ya Kuabudu ..Hajalishi nini anaabudu but they warship with their beliefs.
 
Bado teenager sana kwenye spiritual knowledge_tafuta Guru humu_wapo wengi tu utakufa kafir
Mkuu naona umeamua kumpa za uso huyo jamaa.. Yaan ata upande wa spiritual lane nako anafel vibaya...
ila anavunga much know kinyama.
 
Back
Top Bottom