From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Ninavyojua zaidi ya 70% ya pato la nchi linazalishwa Dar na wanaume na wanawake wa hapahapa Dar ndio wanaozalisha wangekuwa kama unavyodai hilo lisingewezekana.

Halafu pia nani kakwambia kama anakutaka
wewe,mbona unahashuka??!!!

hii siyo kweli kila ukiona nacho Dar kinamkono wa kutoka bara...............chunguza Dar is a mere merchant city, that is all.......viwanda vipo hapo kwa sababu ya bandari lakini mali ghafi zatoka mikoani.............
 
Hivi kutoka Arusha mjini mpaka kwa Mromboo ni kilomita ngapi? ina maana watu wa Arusha ni maskini kiasi hicho mpaka ifikie sawa na mtu wa Dar anaeeishi Bunju aende kula nyama ya mbuzi Kongowe!!??
Mimi mtaani kwangu na masela wangu huwa kila tukifurahi tunakwenda vingunguti tunanunuwa mbuzi wetu dume wa shillingi laki moja then life goes on. kwa Mromboo ni sehemu wanayokwenda watu waliopigika kimaisha bana!!
Watu wanaofanya sociolization mara moja kwa mwaka utawajua tu!...Broda utachekwa na watu hapa...!
Watu hawamaindi mambo ya mbuzi mzima weweeee...wanini?..Unakwenda kwenye UKWE?...UNATAMBIKA?...unakwenda Moshi Krismasi?
Anyway, kwenu wengine haya mambo ni mageni, very rare', and they happen once in a blue moon!...huh!
Pole!...VP wikiendi hii utapitia pale NAKIETE YA MWENGE?
 
Mtoto wa town hazomewi,huzimewa wakuja kwani maranyingi hukurupukia mambo....alidhani huku town Wagumu wanashoboka na MABOGA.. Wagumu tuko tite na mkwanja wauza NYAGO kijiwe kupiga picha... na bado wataichukia sana BONGO pasi na kujitambua..... Arudi A-Town akawakimbize nduguze........ Hii ndiyo B.O.N.G.O ban..

Mkuu kwa maandishi yako tu ni kama vile nakuona vidoleusawa wa macho, mdomo umeubinua flani hivi yaani full muuza sura kweli we mvulana wa Dar.
 
Mbona wanaume wa dar tukija Arusha, Mbeya, Iringa, na Moshi wanawake wanatoroka waume zao kutukimbilia?, Tatizo wewe ulichukuliwa na ''BONGO FLEVA (MOVIES)''
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE


POLE DADA KWA KUKOPWA, MAANA NA SISI WA HAPA DAR PIA TUNAWAJUA SANA WANAWAKE WA HUKO NI WA INVOICE NA HAWANA BWANA MMOJA NA MARA NYINGI TUNAWAFANYIA MAKUSUDI,WE NJOO UONE DAR VIDADA VINAVYOENDESHA MAGARI MAZURI VYOTE VIMETOKEA HUKO KWENU, NA UKIULIZA UTAAMBIWA PAPAA MSOFE KAPITA,NDAMA KAPITA,NA WOTE WA G8. NAKUMBUKA KUNA KIPINDI NIPO CHUO 1st YEAR KUNA KIDADA KIMOJA TULIKUA COURSEMATE CHA KUTOKEA PALE MAJENGO MS,ALITANGAZA NIA KABISA YA KUTEMBEA NA G8 WOTE NA KWELI ALIFANIKIWA NA ALICHOAMBULIA NI KUPEWA GARI LEO NA KESHOKUTWA ANANYANG'ANYWA, KISA KAFUMANIWA, KUMBE ALIYEMPA GARI NDO KAMLENGESHA JAMAA YAKE WAMCHEZEE CHEZO ILI AMTEME AKAE HUYO MWENZIE. lol!
Dada Karibu Sana Mji wenye VIIJANA MATATA ( HUWEZI MJUA YUPI CHINGA, YUPI MUUZA SURA NA YUPI MENEJA TOFAUTI NA HUKO KWENU, MUUZA MAWE NI TOFAUTI NA MUUZA WATALII)na mambo mengi na mengine hujamaliza kuyajua!!!
 
Wanaume wa JF wote waishio nje ya Dar...mmepigiwa pande hilo changamkieni...sisi wa dar itaundwa kamati kuchunguza tuhuma hizi na baadae tamko ramsi litatolewa hapa hapa.
 
Thubutu; nani kasema?! Hapa mlingoti bati bendera bati!!! Majita wa kitaa pharmacy ye2 ki2 cha pweza; ki2 nechuroo hiyo!! Na ni kama mazoea 2; kuwe na kinchedee au kusiwe na kinchedee, ki2 pweza ndo mpango mzima...!!! Tatizo la Maduu wa kuja ni washobokaji, wanashobokea sana wapaka poda!! wakiona m2 kalipuka pamba, wanababaika....kumbe wengine wanaowashobokea ni watoto wa watu!!!

Wapaka poda utawajua kwa maneno yao. Hakika wewe u mmoja wao
 
hii siyo kweli kila ukiona nacho Dar kinamkono wa kutoka bara...............chunguza Dar is a mere merchant city, that is all.......viwanda vipo hapo kwa sababu ya bandari lakini mali ghafi zatoka mikoani.............

Bila kusahau nduguze maria(ungoni ni mask tu) wanadominate huo uchumi kwa sehemu...maria acha mawazo ya kale 'chasaka'...acha kudhalilisha watu wa kaskazini kwa mitazamo ya namna hii...heshimu maendeleo ya wengine Kijamii na kiuchumi...ndiyoo Mr Mbowe naye ni m'me wa dar... tena ktkt ya jiji...
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

Note:Wanaume wa dar wapo kama wanaume wa ZAIRE


Karibu zenjbari tukupe UROJO WA UZIMA...., NA TUKUPE MASSAGE YA MAFUTA YA KARAFUU NA LIWA.....,Ni full malavidave
 
Acha tu...na hali ya maisha inavyozidi kuwa ngumu...tutakuwa tunasafiri kwenda vijijini na mikoani kurutubishwa tunarudi Dar kuwapetipeti.....lol

otherwise wanaume wa dar wawe wanaenda kuishi mikoani atleast for miezi mitatu ili wawarutubishe warudipo dar
 
Wadada wa Dar wenyewe hawashangai hizo swaga za wanaume wa Dar. Anayeshangaa ni wa kuja huyo.
hamshangai kwa sababu hamjawai kupata dozi za nje ya dar!!!
hakika a 20 minutes dozi ya nje ya dar is equivalent to 20hrs dozi ya dar........
 
Huwataki sababu ya mitibwiriko Yao haikuridhishi? Pesa sio Kilakitu mdada na sio wote wanaopenda dezo,Kama umeingia na gear kama mtoto wa kigogo na kwenu pesa ipo ila mtumiaji ndio hayupo kwanini asitake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom