BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
wanaume mnasikia maneno hayo?
Wapi nyie???Tunasubiria kuchukua maamuzi magumu....:eyebrows:
mbona umepooza au na wewe ni mwanaume wa dar?????Hamna ubaya!
Aisee..mimi nimehamia Arusha siishi tena Dar.....:lol:umeona eeeh wanapenda kula vya bure kishezi
Nyie wanaume wa Dar hamfai kabisa bora mimi nimehamia Arusha..ukikutana na masharobaro wa Sinza
ndo unakuja kutukana watu wote humu....
kuwa na heshima...
maamuzi ni kwamba hata mkifugwa kuweni na nidhamu sio kujishebedua mkiachwa mnaliaTunasubiria kuchukua maamuzi magumu....:eyebrows:
mbona umepooza au na wewe ni mwanaume wa dar?????
mama huwa ananiambia nisimletee mkaka wa dar
Waambie hao...leo watatafuta pa kutokea wasipaone!mwanaume wa Arusha akizidiwa atakuwa hata jambazi na si kulialia ili umfuge ndani kama mbuzi
uzuri dar mambo yote bwana hata wazuri wapoukikutana na masharobaro wa Sinza
ndo unakuja kutukana watu wote humu....
kuwa na heshima...
Du, hii kali...:lol:
Arusha hakunaga hizo mammy!
Achana na watu wa kuja wa Dar!
Njoo upate Mavitu orijino ...kwa wazee wa matrupa!
Achana na chips-kuku wa kisasa wa kule Kitunda na Kipunguni, hela mtu anaenda kutolea maliwatoni...huh!
daaah mama yako kiboko.nina bro wangu hapo mailisita atakufaambona umepooza au na wewe ni mwanaume wa dar?????
mama huwa ananiambia nisimletee mkaka wa dar
Nyie wanaume wa Dar hamfai kabisa bora mimi nimehamia Arusha..
simkosi mwanaume yeyote nimtakaye naishukuru figure yangu hainiangushiKwani hao wanaume wa Dar walikwambia wanakutaka? au vigezo unavyo? isije kuwa hasira za sizitaki mbichi hizi kwakuwa huna mvuto.
Wapi nyie???
Jua ndo linaenda hivo, na Hansard ndio inaingia kwenye rekodi!..
Huh!..Leo mmepatikana jamaa zangu!..
Ujanja mfukoni!
Nyie wanaume wa Dar hamfai kabisa bora mimi nimehamia Arusha..
utasikia ngoja nikaombe hela kwa bi.mkubwa (mama) niende kwa demu wangu akanipe helaumeona eeeh wanapenda kula vya bure kishezi