From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

Yangu macho leo....Maria Antonia Tina wangu akishatumia kile kitu cha Arusha waga simuwezi....!!

Sasa Maria, unaongelea wazawa wa Dar,waishio Dar au waliokulia Dar??

Manake kama TF katoka Dar kahamia Arusha, kuhama kunambadili??
Hahahaaha! Halafu wewe
 
Una uhakika gani bado hajakupata?

Lizzy... Wanaume anaowanunua yeye ni wauza NYAGO NA WALA VIEPE... Hana jeuri ya kununua MWANAUME RIJALI HUYO...Aondoe mijicfa yake hapa arudishe huko kwao...Hajawai kutongozwa toka aje hapa town..yeye anatongoza!! Analalama nini?
 
@nje ya dar, baba mngoni, mama mchagga.

..........finally i concluded kuwa STAKI mwanaume wa dar

1.Wengi ni watoto wa mama
2.Huko dar kila duka la dawa baridi (small pharmacy) lazima ukute wanauza dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME
na kukuza uume wakati wanapenda kuwatusi wanawake mchina,mchina,mchina
3.umemchukuwa kuwa mgeni wako usiku na bila aibu anakula chips, hata kuku robo hawezi kumaliza
4.Wengi hawana self-made capital zaidi ya inherited enterprises
5.Wanaume wa dar wanashangaa sana wanawake yaani unajiuliza utapitaje mbele yao wanavyokodoa

nakujbu kama ulivyotoorodhesha kinamba.
1.Hakuna anayezaliwa na baba,au huko mwanza na arusha mmezaliwa na baba zenu?
2.Hata betri ikiisha chaji inaongezwa au unataka simu izime?
3.kwetu yombo kitunda chipsi kavu tu zinajaa kwenye sado,nini kuku robo hata ukipewa kipaja humalizi hoi.
4.Kamuulize Jk
5.Macho hayana pazia.
Una swali?
 
simkosi mwanaume yeyote nimtakaye naishukuru figure yangu hainiangushi
mimi si mgeni wa DSM na wanajibu majibu ya ovyo sana mpaka wanakoma na mimi

kwa sentesi hii nimeshagundua wewe ni msichana wa aina gani na hayo unayosema kuh wanaume wa dar kumbe uko sahihi. mtazamo wako, na aina ya wanaume unaokutana ambao wengi huangalia hizo sifa unazojisifia nazo ni lazima ukutane na hao watoto wa mama masharobaro wavalia suruali chini ya makalio. lakini kwetu sie tunaotizama mambo ya maana kwa mwanamume tunaona dar kuna wanaume weeeengii wa maana, wenye ku 'think big' na wala huwa hatutegemei kujirusha kwa kutumia mfuko wa mwanamume hata si tunazalisha uchumi wetu si mbaya! tena kama ni kuhonga bc hapa watu wanahongana bila kujali, sio mikoani mtu hata akikununulia andazi kesho anakufuatilia akitegemea malipo!!!
 
Uko pande ipi shem, kwanza nina kesi na wewe....tukutane New Arusha then tumalizie siku kwa Morombo...lol

BTW: Mary atakuwepo kwa hisani ya wanaume wa Arusha( wazee wa kazi,wasio lia lia ovyo....lol)
Hahaha! Sawa sawa aisee tulijadili hili suala naona watu wa Arusha leo bahati imewaangukia...
 
Hivi ni wanaume wa Daressalaam au Dar, maana kuna tofauti kubwa kati ya wale wa Daressalaam na wa Dar, maana wa Dar essalaam ni wazawa na wa Dar ni WAKUJA NA KULETWA ! nina hakika ndio hao unaowazungumzia! usitutukanie baba na kaka zetu wa Daresssalaam Tafadhali.
 
Yangu macho leo....Maria Antonia Tina wangu akishatumia kile kitu cha Arusha waga simuwezi....!!

Sasa Maria, unaongelea wazawa wa Dar,waishio Dar au waliokulia Dar??

Manake kama TF katoka Dar kahamia Arusha, kuhama kunambadili??

Upo ndugu?, sijakusoma muda sana, salamu zako sana tu.
 
Ha ha ha ha, Mariaantoni umenikunaje????
Nakupa 6 leo.
Kama umekulia mkoa wanamme wa Dar huku huwawezi kabisa
Akiona njano wewe unaona nyekundu

Ukienda Zenji ndo unapiga na 'yowe la hatari"
Hata haielezeki, anyway sio wote lakini.

Umenivunja mbavu:lol::lol::lol:
 
Tanua aste-aste hata kama unacheza karate,utaliwa mate unapotoka lazima udate!wanapaita arraa.,watu wanatafuta jala
 
Hahaha! Sawa sawa aisee tulijadili hili suala naona watu wa Arusha leo bahati imewaangukia...

Vibaya mno,ukiona PJ kaweka kambi basi ujue imewaangukia...ila siwaoni kaka zangu wengi wa Arusha hapa,leo Ijumaa wengi ndo wanashuka toka porini em tuwasubiri.....ukisoma hizi mada utagundua kuwa tunafikiri tofauti sana aisee na kila mtu ana mambo yake kichwani.....!!
 
Mimi ni mwanaume na naishi Dar kwa sasa lakini nachukizwa na mitindo ya maisha ya baadhi ya vijana wa Dar, wanavaa visuruari vinavyobana halafu kata k, t shirt za kubana mikono mifupiiii, hereni nk; mwanaume wa jinsi hiyo haongozani na mimi acha niitwe mshamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom