funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,569
- 21,051
Pole sana ndugu yangu kwa kugongewa mkeJe kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Pole sana ndugu yangu kwa kugongewa mkeJe kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Atakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu!
View attachment 1671061
Pole sana mwamba ila hio kitu inaitwa "Guilty conscience"...Ni ile hali hutukuta endapo umefanya jambo baya kwa mtu asie na hatia halafu unajistukia stukia why umemfanyia mtu hivyo.Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Hii style ndio imevunja ndoa nyingi sana 🤣,,,Atakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu!😄😄😄
View attachment 1671061
Ndo nin kututia nyegezi hivi wenziooAtakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu!😄😄😄
View attachment 1671061
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Ndo nin kututia nyegezi hivi wenzioo
Huenda kaskia Ile audio ya yule kungw anavyo wataka wanawake kuwatumia kila muda mesej za faraja na Mapenzi wamezao wanapo kua safar au kazin pia huenda kaona mwanamke mwenzake anavyo nyanyaswa na mme wake na kujipima na kuona kua mumewe anamjal na kumthamin so io ni kama shukuran usimfikirie vibaya"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
... mleta mada anatuletea habari za mkewe zinatuhusu nini?Kama katoka kukojolewa wewe inakuhusu nini?
Mambo tayari.Mkuu hata usingizi hauji sielewi kabisa, nimejaribu kumuelekeza izo kauli na jambo jingine lilikua haliposawa akawa kwenyesimu haongei, namwambia mbona huongei anasema nakusikia ila nikiongea hanijibu mwishoe nikaamua nikate simu, ila moyo unaniuma, nimepiga tena hapokei na najua kesho atadai nilipokata cm alilala da! Sijui yan
Urudi ujielezee😅🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwa kweli dada mkubwa hata mimi hiyo picha inanipa taabu sana,yaani nikiiona tu basi Athumani kichwa wazi anakuwa mkali kweli kweli!Urudi ujielezee😅
Wengine hio ndo favourite angleKwa kweli dada mkubwa hata mimi hiyo picha inanipa taabu sana,yaani nikiiona tu basi Athumani kichwa wazi anakuwa mkali kweli kweli!
Hivi dada mkubwa hata nyie wanawake mnaipenda hiyo style?Wengine hio ndo favourite angle
Kuna nyingine ni fikirishi kwa huyu anajitakasa huenda sio mzoefu au amefanyiwa jambo baya majuto yake ndo hayo.Aisee wanandoa mnachekesha sana, mmezoea maugomvi hadi mkitumiwa msg nzuri ya kimahaba mnashtuka.