Swadaktaaaaasawa mama nafuta kishingo upande.
ila Madame B nikisoma-ga reply zako naona kama sipo jf nipo kwenye ka-ulimwengu fulani hivi
au mwandiko wako unaupiga na manukato ya kitanga?
kwa mwandiko huu sidhani kama nitabaki salama usiku wa leo.Swadaktaaaaa
Si unajua sie watanga kwa marashi ya uturi na al-udi!
Basi vivyohivyo kwa mwandiko wangu, nimeufusha kwa fusho la uturi wa marashi ya hudyiiii....
Nashukuru.Pole.
Sijui nikusaidiaje?
Nakuruhusu unianzishie mimiNamwanzishia nani?
Wewe ni tomboy for real?Mapenzi sio pesa, nilimaanisha umri.
Basi Ngoja nikupende mimi au unaogopa kupendwa na Tomboy?
Yap!Wewe ni tomboy for real?
I am in.Yap!
Bas ngoja nifute nambaKule wasap, simu alikuwa nayo Mung Chris
Mie nilikuwa nimejilaza.
Vipi tena?[emoji23]Mmmh
Haleluya haleluyah jina la bwana lihidimiweBaba yako na mama yako wangetumia condom ungezaliwa wewe.
Yes...kwetu condom ni msamiati kama ilivyokuwa kwa wazazi wako wakati wanakutafuta wewe
Haleluya lisifiwe kweli kweliHaleluya haleluyah jina la bwana lihidimiwe
Hongera sana madam kwa kumpata wa kukutuliza hata ungekuwa umekutana nae mwezi mmoja ulopita
Humu kuna wanaume wana viherehere utafikiri wanaliwa wao mxiiiiiieeeeeew
Nakuruhusu unianzishie mimi