Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Wacha bana...umeadimika sana maeneo yetu!!Pamoja na kujaliwa chura na akili ya maisha na akili ya kuishi kama mwanamke ninayo.
Wangapi wana chura kama langu ila wako tu na hawana hata dalili za kuolewa wala kupata wenza?
Chura sio kila kitu.
Chura ni ziada tu.