From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Ndiyo, watu kama sisi tunaosema ukweli huwa hatukosekani, mojawapo ya makosa makubwa wanayoyafanya watu ni harakaharaka kama hizi, kumbuka huyo jamaa utahitaji kuzeeka nae, so sio suala la mzaha, inatakiwa kutafakari sana, hivyo inahitaji muda mrefu kufanya maamuzi, sio miezi mitatu tu..

Anyway, tayari mmeshavimbishana vitumbo, hapo hakuna namna tena, ni kuwaombea tu mzimudu changamoto za mahusiano, am sorry for any inconvinience due to my posts!
Wala usijali.
Maneno yako sio sheria kwamba lazima tuyafate.
Tumbo langu, na mbebaji ni mimi.
Afu uzuri wake, sie wala hatuna hata wasiwasi.
Nimerudia mara kibao kuielezea hiyo miezi 3, ila nashangaa unakurupuka tu.
Kuwa na tabia ya kusoma vilivyopostiwa nyuma.
Mie na Mung Chris ndo tushaamua.
Hizo nyingine ni kiungo tu kama ilivyo chumvi mbogani
Ila asante kwa kuchangia.
See you!!!
 
Bora hata nipate mdogo wangu wa kucheza nayee
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Umeona eeee my daugjter2
Safi sana.
Mtachezajeeee......
 
Mwanasaikolojia Mmoja Maarufu aliwahi kusema Hakuna Kitu Kigumu kama kumshauri "A Woman in Love", Huyu ana miezi mitatu tu Mkumbuke katika Uhusiano
 
Kwako Mung Chris kipenzi cha moyo wangu na tiba ya maradhi yangu sugu.
Ni siku, wiki, na hatimaye imetimu miezi mitatu tangu tuanze safari ya penzi letu tamu na lisilochuja hapa duniani tulilolianzisha hapa Jamii forums tarehe kama ya leo.
Na pia nakumbuka jinsi tulivyosumbuana hapa Jamii Forums kule Pm kila siku.
Usijali....(ile ilikuwa mitego yangu kukupima kiasi cha upendo wangu kwako).

Hakika sikutaraji kama nitaweza kupata mwenza wa kuweza kunituliza na kufanya niweze kuwa kiumbe kipya katika safari hii ya penzi tamu.

Sijutii kukupenda
Sijutii uamuzi wangu
Sijutii kuchaguliwa na wewe
Sijutii vile binadamu wanasema nini kunihusu mimi au wewe.
Ila kwangu utabaki kuwa mpenzi na baba bora wa mtoto wetu mtarajiwa.

Natamani nimalize hii ng'we salama ili niweze kupakata katoto kako kalikochanganya damu ya Kisambaa na Kichaga.
Nakupenda leo
Nitakupenda kesho na
Nitakupenda milele daima.
Labda mmoja wetu afariki.

Kila mmoja ana mapungufu yake, hakuna aliyekamilika kwa 100%
Kama kuna sehemu naendelea kukukosea naomba uwe muwazi na uniambie ukweli.
Hatuhitaji kuishia njiani.

Asante kaka mkuu Maxence Melo kwa kuanzisha mtandao huu kwani kwa namna moja ama nyingine imechangia mimi kumpata mwenza wangu Mung Chris.

Pia natoa rai kwa wale tuliokuwa tunasumbuana Pm,
Nimetwaliwa....natawaliwa.
Nagharamiwa sasa hv.

Ila baba Mung Chris punguza wivu, wabantu wa mizigo ndio asili yetu.
Utagombana na wangapi baba?
Cha muhimu ni kutunza heshima ya penzi na pendo letu.
Ila nami itabidi nipunguze manjonjo....kha!!!!

Nakupenda sana.
Can't wait kuvaa ring...
Soon najua inakuja.
I love you, no matter how.
Madame B.
2018
Condom kwenu ni msamiati..
Duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom