chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,694
Kweli huwez Jua mwenza Wa maisha sehemu mtakayokutana ,,,hongereni sana kila la kherii
Sasa nyaku nyaku mkae mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni
Mimi Pm yangu haiko closed kwa kuwa najua nini nafanya.Hongera kwa kutoa hisia zako za penzi ulilozama ukaoza kabisa, kwasasa washa PM tu hakuna atakaye kuja huko
Asante sana chlorine gas.Kweli huwez Jua mwenza Wa maisha sehemu mtakayokutana ,,,hongereni sana kila la kherii
Nitakuja kukupa hongera ukijifungua.Mimi Pm yangu haiko closed kwa kuwa najua nini nafanya.
Iko wazi kwa maana sio wote wanaokuja wanafata upuuzi.
Kuna deals nyingi zinapitia Pm.
Sioni sababu ya kufunga ikiwa najielewa na naelewa mazingira mkuu.
Karibu
mm nawaombea heri mkuu!nna kahofu kadogo siku madame akimfumania chris! sijui shoga atachambaje😀Duh kama wewe umejibu hivi yeye je?
😎Huyu manengelo dawa yake iko jikoni.
sikutegemea
Uzi unaanzisha lini?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Namwanzishia nani?Uzi unaanzisha lini?
Huna wa kumwanzishia?Namwanzishia nani?
Kaka mkubwa ina maana hata kitaa hupendwi ?Duh sjui na mimi nitapendwa lini
Hahaa mkuu ametega tego,we unategua tenaKaka mkubwa ina maana hata kitaa hupendwi ?
Au unataka upemdwe humu jf bro ?
Duh sjui na mimi nitapendwa lini
Mung ChrisHahaha.
Ashamaliza ujana na mie nishamaliza ujana.
Hatuna wasiwasi.
Ila asijaribu maana sitamuacha salama.
Hahahaha