Yeahaisee, kwa hiyo Mung Chris anapata huduma zote pendwa sio!
Sio mleaji tu imepata mhusikaMimba imepata mleaji
ohooooo mkuu!mambo mengine ni siri,hayasemwagwi hadharani!hahaa hahaaaBila shaka haruki ukuta
daah wewe toto la kitanga hunaga choyo ujue, huo mchezo utaachaga kweli!Yeah
Tumekuwa mwili mmoja.
Siwezi simuini kitu
Hivi haya mambo huwa ni kweli eeeh!!!?, Ila una haraka sana bibie, miezi mitatu tu tayari umeshakuja kuutangazia uma? Kwa huo muda nina uhakika hata tabia hamjajuana Pole sana!
agrrrrrr hiyo maneno ya mwisho masikio yangu huwa haipendi kusikia aiseeHahahah
Tutabaki kaka na dada tu sasa hv
Love you too, thanks babyMpenzi,
I love you!!!
Acha waongee...kuongea ni jukumu lao.
Maadam unanimudu basi hakuna likushindalo.
Nakupenda sana mpenzi wangu.
Sio mleaji tu imepata mhusika
Bora hata nipate mdogo wangu wa kucheza nayeeAsante my daughter.
Soon nakuletea mdogo wako.
Thanks dear
Ndiyo, watu kama sisi tunaosema ukweli huwa hatukosekani, mojawapo ya makosa makubwa wanayoyafanya watu ni harakaharaka kama hizi, kumbuka huyo jamaa utahitaji kuzeeka nae, so sio suala la mzaha, inatakiwa kutafakari sana, hivyo inahitaji muda mrefu kufanya maamuzi, sio miezi mitatu tu..Watu kama ninyi hamkosekani katika jamii.
Sihitaji pole yako na wala sihitaji kujua lengo lako.
Mwanaume msimamo, tutarekebishana