Hahaha karibu nikupendeNa mimi nataka.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ndio nishakaribi ivo. Kupendwa sio suala la mchezo mchezo!Hahaha karibu nikupende
Mbona kitovu kichafu hivi ? Hongereni lakini
Bhana eeeeHongera sana mamy mungu awatangulie katika penzi lenu.. lol kumbe ni mung Chris ndo yuuuleeee mchaga wa koment yako moja hivi...
hongereni once again..
cc Smart911
Mie kitasa, yeye ufunguo.Sijui kitasa kimepata ufunguo, sijui ni ufunguo ndo umepata kitasa.....
Hongera Madame B na shemela
Sijui kitasa kimepata ufunguo, sijui ni ufunguo ndo umepata kitasa.....
Hongera Madame B na shemela
WaooHongera kwako
Wewe ni mfano mzuri wa wengi waliopitia mengi ma kuandika humu na mwishowe kumpata mwenza mlieshibana.
Nawatakia kila la kheri.. ila najua wengi watakumisi maana uliwachangamsha sana humu namaanisha wanaume haswaa
Karibu katika hatua unazopitia na mkija kufunga ndoa.. mimi nipo kwenye ndoa miaka mingiii hadi nasahau miaka kwa utamu wake.
Hahahhahalafu design Mung mpole pole!sasa madame sasa!yaan ni pipa na mfuniko kbs!sasa huwa mby mkutane wote wajanja wajanja!hawa wakiamua kuwa serious watadumu!