Hivi humu ndani kuna uwezekano ya kupata mke/mume ?
Hiki hapa "Siambiwi, Sisikii, Mtuache Tujilie Vyetu na Mjasiria Wangu"Nafikiria Kichwa Cha Habari.
Hiki hapa "Saimbiwi, Sisikii, Mtuache Tujilie Vyetu na Mjasiria Wangu"
Wewe tu yaani. Your wish is my command. You say jump, I say how high!Eeehh naona yanafaa tuyaweke kwenye Khanga tuwagawie.
Wewe tu yaani. Your wish is my command. You say jump, I say how high!
Wanasema tusiwagawie moyo ila wewe wangu nakuachia wote wallahi!
Nikimbie nichekwe tena laaaziz? Niko hapa nakungoja. Ukuje tafadhaliAcha nikaangalie kama kuna nafasi nitarejea, usikimbie
Kwahiyo hizi ni story tu?Kwa asilimia 1
Na mimi nataka.Mapenzi sio pesa, nilimaanisha umri.
Basi Ngoja nikupende mimi au unaogopa kupendwa na Tomboy?
Kwahiyo hizi ni story tu?
Iwe ninkuiga...Haleluya haleluyah jina la bwana lihidimiwe
Hongera sana madam kwa kumpata wa kukutuliza hata ungekuwa umekutana nae mwezi mmoja ulopita
Humu kuna wanaume wana viherehere utafikiri wanaliwa wao mxiiiiiieeeeeew