From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Hongera mpwa, naona umekuja live kukimbiza wezi, hatuchelewi kuwapanga kama nyanya.
 
Hongera mpwa, naona umekuja live kukimbiza wezi, hatuchelewi kuwapanga kama nyanya.
Asante mpwa.
Mapenzi ya kujifichaficha nimeyakataa.

Bora niwe muwazi ili waniepuke mpwa
 
Yaani miezi mitatu mtu kashakuwa mama kijacho.
Khaa!!
Hii dunia Kama Kuna kituo Cha kushuka naomba nishuke tu.
Sasa unachoshangaa hapa ni nini?
Kwani mimba inachukua mwezi kuingia?

Msiwe kama hamjawahi kuweka/kuwekwa mimba.
Toeni ushamba wenu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom