😀😀😀😀wewe jitoe ufahamu !dar!Sijawahi kufika Bukoba tangu nizaliwe. Mwogope Mungu, mkatae shetani
Basi kama ni hivyo wacha niendelee kujaribu bahati yangu kwa manengeloHahahahha
We Asprin unaanza mbwembwe zako eeee.
Hayo yalishapita bhana, nitaanza kulia hapa.
Dada amesharudi kama shemeji, anaanza safari ya kulea kichanga.
Nenda Pm yake ila nakukumbusha tu, shem ile bastola yake kaenda kuikatia kibali tena, hivo kuwa makini.
Kipindi kile ulikoswa ila safari hii atapasua bichwa hilo.
Sehemu gani? Huku kwetu Tandika hakuna bar inaitwa jina hilo😀😀😀😀wewe jitoe ufahamu !dar!
Afu we fala sana wallah. Kwanini umebadiili ID?mhhh au sijaelewa!yaan unamaanisha hao wa3 wamejifungia pamoja?? threesome???🙄🙄🙄🙄🙄
Afu we fala sana wallah. Kwanini umebadiili ID?
Na nyie muingie kwenye maigizo wayafanyayo hao?
Waoo
Asante sana cocochanel.
Kiukweli jamaa ni jasiri, maana aliruka viunzi na changamoto zote zilizosemwa juu yangu na kuamua kusonga mbele.
Hakujali waja wanasema nini.
Wapo waliomvunja moyo,
Wapo waliomkatisha tamaa.
Ila niseme tu ukweli kuwa hawajui kuna maisha nje ya Jamii forums.
Haya maisha ya kujificha nyuma ya keyboard yana ukomo wake.
Si kila mara tutajificha.
Inabidi muda mwingine tuwe-wahalisia ili mambo na vitu vingine visitupite.
Wanaume nitaendelea kuwachangamsha mpaka pale nitakapofika ukomo kwamba siwezi hata type au kushika simu, maana nitakuwa na ulezi wa baba na mtoto.
Asante sana.
Nashukuru
Nitaingia huko soon, japo niliyapitia nyuma, ila kila mwanaume na uleaji wake....🙂🙂🙂
Yani nliishangaa sana... baada ya kuusoma mwandiko vizuri nikakustukia. Bichwa lako!achaabs ufala na ww!zip up
hahahahaaaa ungejuwwaaaa !!Safi sana
Hongera nyingi kwenu kwa kupendana.
Nipo jana na leo na kesho
hahahahaaaa ungejuwwaaaa !!
Yani nliishangaa sana... baada ya kuusoma mwandiko vizuri nikakustukia. Bichwa lako!
Amina.jamani masikin hii ndo naisikia leo !dah!hv kweli ben ht wewe hujui alipo?dah hata hvyo umejitahidi maskn!dah apumzike kwa aman BEN!pole sana my dear!
Na wa kunikuna unajijuaunawashwa