From Madame B to Mung Chris...

From Madame B to Mung Chris...

Hahahhah
Jamaniiii
Mung Chris wangu mpole sana.
Japo anaambiwa hataniweza, ila nina imani ataniweza tu maana mwanamke ana uleaji wake
Sie tutadumu....tutawaletea vijukuu tu mlee maana hapa nahisi kama nina mapacha.
Nitalea mpaka nichanganyikiwe

akiamua atakuweza! usiache kumwambia unapenda ufanyiwe vitu gan uhusiano wenu udumu! wanawake tuna kawaida ya kususa!men anajisahau majukumu yake bas sisi tunazira tunagekuia kwa wengne!arghhh mby sanasana!
 
Sawasawa.
Kuzira kupo ila kuwe na sababu ila kwa sababu inayotatulika, sidhani.
Tulishakaa chini na tukaongea.
Si unajua tena unapoamua jambo.

Ila huyu naona kama barabara yake imenyooka kwangu.
Sioni vigingi mbele, labda kama anaficha makucha ili ayatoee mbele ya safari.
Ila sidhani.
Cha muhimu wote sie ni watu wazima, kila mtu kapitia changamoto za maisha.
Hivo tunapoamua kukaa na kuanzisha jambo, basi ujue hakuna ambalo litamshinda mwenzake.

Haya, nawe shem hajambo...(huu sasa umbea😛)
 
hhahhhahha eti unaona barabara yake imenyooka!lol! shem hajambo aisee!anataka kusafiri.... naona kama masaa yanarudi nyuma😉😉😉😉😉 anasafiri nxt week ila had mswaki nishaupack 😕🙁!.....NIOMBEE😛😛😛😛😛
 
Wewe Madame B mumeo uliyefunga nae ndoa mliachana lini mpaka leo unamtangaza mwingine tena humu ndani? Ama kweli dunia imejaa vituko
 
Chaaaa
Asa wiki ijayo wapack leo..si uu-pack alfajiri, jamaniii.
Nakuombea mwaya, ataenda na kurudi salama.
Sometime ukijifanya bandidu, unaweza ishi na laptop yako tu.
Hahhahahah
 
Haya na mimi nataka mzee mwenzangu tunyooshane viuno na wakunikumbusha niliposahau miwani yangu....

😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃,,....

Kila la kheri mpwa Madam B na Mung Chriss

( kama ni Kweli )
 
Wewe Madame B mumeo uliyefunga nae ndoa mliachana lini mpaka leo unamtangaza mwingine tena humu ndani? Ama kweli dunia imejaa vituko
Heheheeeeeee......we umetokea wapi asubuhi hii?
Kwani watu hawaachani, au hawafariki?
Kwani binadamu wanaishi milele?
Mung Chris anajua kila kitu na ndio maana kasema ewalaaaa maisha yaendelee.

Asante kwa kunikumbusha niliyokuwa nimesahau.
 
Maisha ya maigizo na sanaa hayawezi kuisha humu wajinga ndio waliowao kila la heri na sanaa zako!! Kick at work!
 
Haya na mimi nataka mzee mwenzangu tunyooshane viuno na wakunikumbusha niliposahau miwani yangu....

😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃,,....

Kila la kheri mpwa Madam B na Mung Chriss

( kama ni Kweli )
Hahahahah.....eti uliposahau miwani.
Una hatari hujijui tu.

Nina imani atakuja humu.
Tuitumie tu mitandao vyema.

Asante mpwa, nasongesha gurudmu la maisha sasa na maisha mapya na mwenzangu
 
Heheheeeeeee......we umetokea wapi asubuhi hii?
Kwani watu hawaachani, au hawafariki?
Kwani binadamu wanaishi milele?
Mung Chris anajua kila kitu na ndio maana kasema ewalaaaa maisha yaendelee.

Asante kwa kunikumbusha niliyokuwa nimesahau.
hahahaha kasahau tena wanaume lifespan yao ni nyembamba! hahaha nimecheka sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom